Matema Beach
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 364
- 68
zanzibar ikijitenga amani ya kudumu itapatikana bara maana uovu wote hapa husababishwa na waislamu wa zanzibar
Hiyo zambi ya ubaguzi ndugu lazima ikutafune mimi nimekua na waislamu sijawahi kuhisi nabaguliwa kwa namna yeyote ndio maana nimesema watu wa Zanzibar ni watu wastaarabu sana ila ukipita kwenye njia zao(ukiwafanyia ndivyo sivyo) hapo lazima utawajua wao nani na hili sio kwa waislamu au wazanzibar tu ni kwalila mtu anapo fanyiwa ujinga na mtu lazima ajibu mapigo. NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NDUGU ACHA UBAGUZI KWANI KATIKA MAISHA KILA MTU ANAMTEGEMEA MWENZAKE BILA KUJALI DINI, KABIRA NA RANGI.