Wifi zipo na chanell 1-13 .
Ipo hivii. Nilinunua laptoo dell latitude e6230. Na simu tecno wx3lte ila laptop yangu ikawa haikamati kwenye hotspot ya simu.
Ila wifi nyingine zinashika freesh. Nilichokuja kugundua ni kuwa simu ilikua inabroadcast wifi chanell 13 ila laptop yangu haikamati chanell 13.
Nikabadilisja wifi adapter ya laptop , tatizo likaisha mpaka leo.
Kuna software (ngoja niicheki jina.) ukiiweka kwenye pc inayoshika hiyo wifi ita analyze na kukupa taarifa zote za hiyo wifi (channel+band) baada ya hapo sasa pitIa online ujue uwezo wa adapter yako.
Hi inatokea sana na pc used