Tatizo la wingi wa damu

Naxria abdalla

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
204
Reaction score
376
Natumai hamjambo, nina tatizo la damu nyingi mwilini. Pia damu ni chafu, naomba maelekezo nini cha kufanya niweze kupunguza damu mwenyewe kabla sijaenda kuchangia.

Ahsanteni.

=====

UFUATILIAJI WA JAMIICHECK

 
epuka kufata ushauri wa mchongo wa wadau, humu karib kila mtu atajidai ni daktari sabb anajua kutumia internet.

Word of advice, it's better ufike hospitali for a clinical consultation, kuna vitu vingi itabidi uulizwe ili kupata data zitazosaidia kuformulate individualized plan ya kukabiliana na hali yako, sabb kila mgonjwa ni tofauti.
 
Mkuu damu yako ni nyingi kiasi gani yaani umepima ukakuta iko ngapi?
Pili unadai ni chafu imechafukaje, imechafuliwa na nini?
Tatu kwa hali ya kiafya unayoelezea wewe hata ukienda kutoa damu hawatokubali,mtu anayejiskia kuumwa kamwe haruhusiwi kuchangia damu.
 
. Hakuna neno damu chafu, na hakuna kitu kinaitwa damu chafu ndani ya mwili wa binadam na "katika taaluma ya Afya" . Jaribu kuelewa hivyo ๐Ÿค
So, ulitaka daktari atumie medical jargons kuwasiliana na mteja wake? ๐Ÿค”

Pia kuna lugha (maneno) hutumika ili kupunguza mzunguko mrefu wa kuexplain medical jargons kwa mteja (client).
zinaweza zisiwe na maana hiyo medically ila zinasaidia huu mzigo wa kuelezea.


Au hujui hilo mkuu?
 
Ndo ujinga wa watu wa kiafrika, nimesha kuambia kuwa hakuna kitu kama hicho lakini wewe umekomaa na "medical terms" ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.

Ndo nyinyi huwa mnawaambia wagonjwa mara wana U. T. I sugu, mara wana malaria 1, 2, 3, 4. ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ.
 
Ngoja niendelee kusoma nitapata kitu
 
๐Ÿ˜€ nimekosa, nimekosa mimi!

nilichomaanisha ni kwamba pengine daktari wake kaona atafute namna kuelezea kwa lugha rahisi tu, maana vipimo vya damu daktari wake ndo avijua., mie nawe hatujui. Ni mbinu ya communication, hufundishwa kwa madaktari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ