kama watu wamekomenti kwa mzaha bila kujali mada haina shida, lakini kama watu ndiyo wamekomenti wa utashi wao basi ni shahir dhahiri members wa jf ni weupe sana kichwa (maamuma)
kuna siku nilikuwa K/koo baada ga mizunguko nikapanda daladala siti niliyokaa pemembeni kulikuw na baba na mtoto mdogo kabeba wakati daladala inatoka mdogo mdogo yule mtoto aliangalia dirishani akawa anawambia baba. "baba ona wale wapo uchii" alkrudia kusema hivyo kama mara 3 hivi lakini baba yake akuwa na time naye, mimi nilivyoona mtoto anarudiarudia nikawa natazama dirishani lakini sikuona mtu yoyote alikuwa uchi na daladala ndo ikuwa inatoka.
Inawezekana kuna namna watu wanakuona kwenye ulimwengu wao ambao sio wakibinadamu na wanakuona kituko. sali sana kwa imani yako ukae sawa
hizo mambo zimeegemea na mambo ya kiroho, sio wote wanao amini hivi.