Isaya wa njombe
Senior Member
- Apr 2, 2023
- 192
- 390
Au sio kjn anajiuza humujanja janja ya nyani
Peleka uzi huku Matangazo madogo
Sawa MTOTO.Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima
analala Uboboh alipoamkaAu sio kjn anajiuza humu
Unajizungusha nini? We sema tu unataka kuwasimanga Wanayanga. Hakuna Cha jentlomani wala niniNiende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya
Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani nikama kuna kitu natembea nacho kiko usoni kwenye paji la uso mpaka naogopa.
Sio Mara moja nakuta natazamwa sana binafsi niko kawaida navaa ki gentleman sina mambo mengi, hapo umri huyo sina mke.
Mahusiano yangu huwa yanakufa mapema sana kila nikianzisha nilishaleta uzi hapa ila hili la kutizamwa ningekuwa maalufu sawa lkn mi lofa tu inakuwaje natizamwa non stop utafikiri kuna marudio ya USM Alger na young Africans?
Akituma picha nijuze mkuu, tutumie picha kaka hata nusu picha tukupe ushauri pengine wewe ni handsome sana.Tuma picha kwanza tuone tatizo lipo wapi maana huku Tandale unaweza ukapishana na mama mkwe na msionane tulivyovurugwa na life.
Huenda unafanana na katuni.🙌😅Niende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya
Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani nikama kuna kitu natembea nacho kiko usoni kwenye paji la uso mpaka naogopa.
Sio Mara moja nakuta natazamwa sana binafsi niko kawaida navaa ki gentleman sina mambo mengi, hapo umri huyo sina mke.
Mahusiano yangu huwa yanakufa mapema sana kila nikianzisha nilishaleta uzi hapa ila hili la kutizamwa ningekuwa maalufu sawa lkn mi lofa tu inakuwaje natizamwa non stop utafikiri kuna marudio ya USM Alger na young Africans?
Umewahi kujinusa?Niende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya
Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani nikama kuna kitu natembea nacho kiko usoni kwenye paji la uso mpaka naogopa.
Sio Mara moja nakuta natazamwa sana binafsi niko kawaida navaa ki gentleman sina mambo mengi, hapo umri huyo sina mke.
Mahusiano yangu huwa yanakufa mapema sana kila nikianzisha nilishaleta uzi hapa ila hili la kutizamwa ningekuwa maalufu sawa lkn mi lofa tu inakuwaje natizamwa non stop utafikiri kuna marudio ya USM Alger na young Africans?
🤣 🤣 🤣 🤣 natukanwa sana , nikapiga pini aiseeKaribu kule mkuu utuunge mkono, tatizo umefunga PM au wanaomba sana pesa za sabuni?
Yawezekana ila jamaa hapa wanajua natania niko seriusInawezekana wanaona kitu kinachowahusu wao usoni mwako.
Mkuu yani unaangaliwa kama MTU flani kama unajambo LA hatari unaweza FanyaUna miaka 34 ila unatazamwa na watu unaogopa?
Hii nchi ina vijana wa hovyo sana. Unatazamwa na raia watu baki unaogopa?
Eee Nina harufu ya kimbUmewahi kujinusa?
Hpn mi mwenyewe mwanayanga damu Sema hii ishu nyie mnaoweza kuona kama chaiUnajizungusha nini? We sema tu unataka kuwasimanga Wanayanga. Hakuna Cha jentlomani wala nini