Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Ukweli wanawake wengi wamesaidiwa na hizi dawa sema yawezekana mtoaji wa dawa huwa hasemi zinaenda kufanya kazi gani? Unakuta mtu anatumia bila kujua faida na hasara.
 
Hizi dawa ni maarufu sana kwa kina mama wanaoshindwa kupata mimba, naomba mnaozijua mnifafanulie huwa zinafanyaje kazi yake mpaka mtu anashika mimba
Wewe kama unataka Dawa za kushika sema na toa pesa upewe usitake kujuwa mambo mengine Dawa za mitishamba ni nzuri kwa kushika mimba na hazina madhara ukiweza wasiliana na mimi kwa Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com
 
Mimi kabla ya bibi yangu kufariki aliyemzaa baba, aliwahi nionyesha dawa nyingi sana kuhusu uzazi, kuna siku nakumbuka nilienda likizo nikiwa kidato cha tano, akataka mazungumzo nami kikubwa alinitaka nikioa na kuzaa mtoto wa kiume nimuite jina lake na kunitaka nisimuite jina lake mtoto wangu wa kike kuwa hataki tena kurudi kuwa chini ya mume kwa maana ya kumpikia mme, kumtandikia kitanda na majukumu mengine naye angependa kupata hizo raha!!!!!

Swali langu likawa what if nimezaa watoto wote wa kike nisikuite jina? Ndio kaanza kunionyesha aina za miti shamba kama mke hazai, kama unataka mtoto wa kiume, kama unataka wa kike.

kifupi kila kizazi hutatua problems kwa namna yao lakini pia kila next generation hudharau njia walizotumia previous generation so hata sisi njia tunazo tumia sasa kizazi kijacho kitatucheka sana! ukweli zinatibu labda mtu awe kalogwa ndio huwezi!
 
Unaweza ukawa unaishi duniani lakini huijui dunia, ngoja upate matatizo ndiyo utaijua dunia
 
hizo dawa nyingi sana zinausiana na mambo ya uchawi ndo maana watoto wengi wanaozaliwa kwa njia hiyo wanakuwa na matatizo mengi na mambo ya ajabu.na mimba nyingi zinazotungwa kwa njia hii zinasumbua sana.hivyo ni vyema wakina mama kufaata ushauri wa kidaktari ambao umethibitika pia kumuomba mungu sana kwani yeye ndo muweza wa kila kitu...

Umemaliza kila kitu cna haja y kuongeza.
 
Hizi dawa ni maarufu sana kwa kina mama wanaoshindwa kupata mimba, naomba mnaozijua mnifafanulie huwa zinafanyaje kazi yake mpaka mtu anashika mimba

Inategemea nini tatizo halisi linalotakiwa kutibiwa. Lakini nyingi zinaondoa maambukizi sugu na kubalance madini na vitamini tu hali inayopelekea hormones nazo kukaa sawa.
 
ukweli wanawake wengi wamesaidiwa na hizi dawa sema yawezekana mtoaji wa dawa huwa hasemi zinaenda kufanya kazi gani? unakuta mtu anatumia bila kujua faida na hasara

Ww achana na hayo makitu
Km unabisha endelea then mtt akushazaliwa anapokua utajua y tunakushauri usitumue
 
Nashukuru mkuu tatizo wife ana miaka 50 sioni hata dalili ya kutema mate tumemaliza hospitali zote vipimo vinasema tuko fiti.
 
Ndugu zangu wana JF. Mimi nimeolewa nina miaka 5 ya ndoa. Mwaka 2011 nilipata ujauzito, miez 3 nikawa namwaga maj meupe na mepes kama maji ya bomba, nilikua naenda hospkila baada ya cku 1 au kila cku mana hali ilizid kuwa mbaya, lakini host hawakuona tatizo, mgongo ukawa unauma mpaka nikawa siwezi kusimama, nilikaa na hiyo hali mpaka mimba ya miezi 6 nazunguka hosp na maombi.

Miez 6 na wk 2 nilimwaga dam nying sana nikakimbizwa miko tegeta wakakuta mtoto yuko vizur na dam haikukata mpaka wk 2 nikajifungua njit alifarik baada ya masaa 8, bas nilipumzka miez 6 nikiuguza kiuno mana hakikupona then nikapata ujauzto ukatoka miez 2, nikabeba tena ikatoka miez 3, nikapumzka miez 8 nikabeba tena na kila nikipata ujauzto wiki moja tu nakuwa na hal ya kuwashwa, kuwaka moto kiuno kama uchungu uchungu damu huanza kudondoka mpaka mimba itoke. Mimb ya mwsho ilikua 2013 Nov. Ilivoanza dalili dokta akanipa duphastone had miez 5, miez 7 wk 2 nikaumwa nikapata oprtion alifarik pia.

HIVI SASA NINA MIEZ 8 YA OPRTN, TATZO NIN? NAWEZA BEBA TENA?
 
Nakushauri Tu Dada Nenda Hospitali Nzuri Ili Ukafanyiwe Uchunguzi Wa Uhakika au Ukishindwa Huko Basi Tafuta Msaada Wa Kiroho Kwa Waombaji Wenye Karama Ya Ki Mungu. Hakuna Linaloshindikana Dada Na Usikate Tamaa. Pole Sana Lakini!
 
Pole sana Mkuu.

Hujachelewa nadhani kubwa sana uwe makini na mwenye subira kwa kila hatua unayochukua. Naamini kupitia Madokta wetu hapa utapata jibu zuri.
 
Nakushauri Tu Dada Nenda Hospitali Nzuri Ili Ukafanyiwe Uchunguzi Wa Uhakika au Ukishindwa Huko Basi Tafuta Msaada Wa Kiroho Kwa Waombaji Wenye Karama Ya Ki Mungu. Hakuna Linaloshindikana Dada Na Usikate Tamaa. Pole Sana Lakini!

Yan Kabla Ya Kupata Ujauzto. Nimeenda Muhmbil, Kairuk, Tmj. Naomben Hata Mnielekeze Hosp. Mme Wangu Anataman Mtoto. Na Anajitahd Sana Nisidhoofike Ki Afya, Ila Dah Nahs Simtendei Hak. Plz Your Help
 
Kuna dada mmoja akiwa na mimba habebi ata kitu chenye uzito wa 1kg, yaani akibeba tu uzito wowote ameharibu mimba, anakaa hivyo mpaka anajifungua
 
Kuna dada mmoja akiwa na mimba habebi ata kitu chenye uzito wa 1kg, yaani akibeba tu uzito wowote ameharibu mimba, anakaa hivyo mpaka anajifungua

Mimba Ya Mwisho Niliacha Kazi Nikawa Complete Bed Lest Haijanisaidia.
 
Mungu akupiganie upate kupona unachosumbuliwa hatimaye uweze kupata mtoto kila la kheri mpendwa
 
Back
Top Bottom