Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,941
Tatizo la waalimu ni usawa katika mishahara.Daktari akilipwa milion moja mwalimu nae alipwe milion moja, posho apokee, siyo kumpa laptop.
unaposema ualimu kada ya watu walioshindwa kielimu unautahira kichwani.kumbuka kipaumbele cha kupata mikopo kilikuwa kwa wanaoenda education.Pili kumbuka credit za kujoin chuo kikuu hazina kuchagua waliofeli.Unapozungumzia kada ya walimu usiwe general kiasi hiki.Labda kwa s/msingi.Ualimu kwa sasa ni idara yenye wasomi wengi kuliko idara yeyote hapa Tanzania.Kua na adabu japo kidogo tu.kama unahisi mshahara ni mdogo acha kazi!
Kama hatutapata kura kwa kutoongeza mshahara basi hatuzihitaji kura za wafanyakazi!
Uwalimu ni kada ya watu walioshindwa kielimu!KUNA WATU WALIWAHI KUSEMA MANENO HAYO
kama unahisi mshahara ni mdogo acha kazi!
Kama hatutapata kura kwa kutoongeza mshahara basi hatuzihitaji kura za wafanyakazi!
Uwalimu ni kada ya watu walioshindwa kielimu!KUNA WATU WALIWAHI KUSEMA MANENO HAYO
Una GPA ya ngapi?tuanzie hapo
Ilikuwa zamani brother, nowadays Education inachukua passmark kubwa sana , pale unapolinganisha na kada zingine. Fanya utafiti ,especially Baed Udsm division one za kutoshaa sanaa, while pspa, sociology, udbs ,economics , division two $ three za kutosha sanaakama unahisi mshahara ni mdogo acha kazi!
Kama hatutapata kura kwa kutoongeza mshahara basi hatuzihitaji kura za wafanyakazi!
Uwalimu ni kada ya watu walioshindwa kielimu!KUNA WATU WALIWAHI KUSEMA MANENO HAYO
unaposema ualimu kada ya watu walioshindwa kielimu unautahira kichwani.kumbuka kipaumbele cha kupata mikopo kilikuwa kwa wanaoenda education.Pili kumbuka credit za kujoin chuo kikuu hazina kuchagua waliofeli.Unapozungumzia kada ya walimu usiwe general kiasi hiki.Labda kwa s/msingi.Ualimu kwa sasa ni idara yenye wasomi wengi kuliko idara yeyote hapa Tanzania.Kua na adabu japo kidogo tu.