tatizo la vipele usoni

Mwambie anunue medicated soap, protex,deto na if symptoms persist amwone physian!
 
Kuna mtu ana tatizo la vipele vingi kama chunusi msaada wenu wajf

Unaogopa kujitaja mkuu km ni wewe???

una umri gani mkuu??? Nahisi yawezekana upo kwenye umri wa balehe na ndio maana unapata hilo tatizo!
Nenda hospitali kama ukawaone specialists wa ngozi watakusaidia!

 
Chukua Siki Ya Apple Kidogo Changanya Na Maji Kidogo Pamoja Na Mafuta Ya Nazi Kidogo Sana, Paka Kwenye Mapele. Subiri Dakika Tano Au Kumi, Kosha Uso Kwa Maji Yaliokuwa Si Baridi Sana. Pakaa Kwa kila Siku Mara Moja.
 
Back
Top Bottom