McNair
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 182
- 130
Wasalaam
Niende moja kwa moja kwenye topiki. Iko hivi wanaJF kuna binti anasumbuliwa na kauvimbe kwenye eneo la nje la uke kwa chini kidogo.
Uvimbe huu ni kama kaupele na upo ndan ya ngozi yaani haujakaa kama jipu. Yaani kalivyokaa ni kama golori iliyoko kwa ndani, ukikashika.
Sasa tatizo linakuja kwamba kanamsababishia maumivu makali wakati wa kufanya mapenzi na karibia anashindwa kabisa uke wote unauma akianza kufanya mapenzi!
Binti ana umri wa miaka 20, amekuwa akihisi hali ya maumivu kwa wiki kadhaa sasa na mwishowe kamejitokeza haka kauvimbe leo siku kama ya nne.
Kwa hiyo basi wadau kama kuna mwenye ufahamu wa hili tatizo (maana humu ni "fountain of knowledge") msaada wa mawazo tafadhari.
NB: Uvimbe haumo ukeni ila kwa nje chini kidogo mwishoni mwa uke kuelekea eneo la haja kubwa ila unasababisha maumivu sasa.
Nawasilisha...