Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 4,043
- 3,464
jamani sio vizuri mpeni pole mwenzenu, ile kitu ikisimama ni noma labda uwe nyumbani kwako tu
Hapo uwe unavaa jeans tu. Mambo yatakuwa mazuri. Shughuli zote zitaishia ndani.
jamani sio vizuri mpeni pole mwenzenu, ile kitu ikisimama ni noma labda uwe nyumbani kwako tu
Oyaa bwashee kwani ww huna mke au demu?
Hahahahaaaaaaaaa JF rahaaaaaaa....idumu kwa kweli..
jestina vip ukiwa nalo jirani hilo dushe linalosimama kila dak 1?
.......mkuu nitazoea tu, lol na wewe unalo la hivi?:A S embarassed:
Duuu kweli huku ndo jf,majibu ya jestina yanaweza yakufanye usilale.jestina ww!