Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Nini kinatokea mpaka uume unapinda? Nini madhara yake kwenye mapenzi? Je wadada wanapenda uume uliopinda? Na wanafika kileleni? Na utaufanyaje urudi kwenye hali yake?

Yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili.

Umepinda kuelekea wapi juu,kushoto au kulia?
 
Nini kinatokea mpaka uume unapinda? Nini madhara yake kwenye mapenzi? Je wadada wanapenda uume uliopinda? Na wanafika kileleni? Na utaufanyaje urudi kwenye hali yake?

Yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili.
Weka sampuli tuone..!
 
Kupinda kwa namna gani? Uume kuwa umeegemea upande mmoja mfano kulia au ulio sawa kwenye shina ila unakuja kukunja katikati?
 
Back
Top Bottom