Tatizo la umeme

Tatizo la umeme

ANNASTACIA

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
26
Reaction score
1
THE INSTITUTION OF ENGINEERS TANZANIAMKUTANO WA KUJADILI TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIA:MAHALI: KARIMJEE HALLSIKU/TAREHE: JUMAMOSI, 30/07/2011MUDA: SAA 4 ASUBUHI – SAA 6 MCHANAMADA: UFUMBUZI WA KIHANDISI WA KUTATUA TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIAWATOA MADA: (1) ENG. DR. M.I. MAINGU(2) ENG. S. M. MGAYA(3) ENG. DR. A. L. KYARUZIWADAU NA WANANCHI MNAKARIBISHWARAIS21/07/2011Hivi wadau mnaona hii ndio suluhisho la hili tatizo kwa kujadili tatizo au wangejadili jinsi ya kutafuta njia za haraka na kudumu la kupambana na tatizo la umeme?
 
Mimi sizani kama kweli tatizo la umeme lipo au ni mchezo tu wa baadhi ya watu mbona ikifikia sehemu ya
kuuza ni tanesko peke yake .wafanye kama ilivyokua kwa simu TTCL NA MAMBO YATAKAA MKAO.
 
Back
Top Bottom