Elections 2010 Tatizo la umeme tanzania

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Nionavo mie tatizo la umeme hapa nchini ni sawa na la chakula. Chukulia mfano huu,
mkulima mdogo ana eneo pana la kulima karibu na mto lakini anatumia jembe la mkono kulima sehemu ndogo tu kila mwaka, mvua ikinyesha kidogo na kupata mazao kidogo anasingizia mvua.
Sasa naifananisha hii na tanesco/serikali katika kutatua tatizo hili la umeme nchini.
Labda ni mradi ila wanashindwa kutuambia ukweli maana utasikia pakiwa na mashindano ya soka makubwa (fifa au uefa) wanaibuka na kila kisingizio.
 
Back
Top Bottom