Tatizo LA Ujumbe huu.....

Blue Bahari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
2,281
Reaction score
3,037
Wakuu habari.
Nina simujanja ambapo Kwa takribani siku ya tatu Leo, simu inaleta Ujumbe huu "unfortunately,process. android.acore.has stopped".
Nahitaji kujua chanzo cha Ujumbe huo, na pia nini cha kufanya.
 
Attachments

  • IMG_20180725_173139_278.JPG
    9 KB · Views: 33
Jaribu kujua siku ambapo ujumbe uliaza kutokea ulifanya nini,kama kuna software mpya uliiweka itoe then cheki kama ujumbe unakuja
 
Nashukuru. Ngoja nifanye upembuzi yakinifu.
 
Wakuu habari.
Nina simujanja ambapo Kwa takribani siku ya tatu Leo, simu inaleta Ujumbe huu "unfortunately,process. android.acore.has stopped".
Nahitaji kujua chanzo cha Ujumbe huo, na pia nini cha kufanya.
Pole sana
Hayo ni masuala ya kitaalamu
nadhani kuna system files/drivers ambazo zime corrupt so kwa kuwa OS kazi yake ni kuangalia utendaji kazi ndo maana ikitokea failure inaleta syntax error

Peleka kwa fundi wakafanye hard reset
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…