... nimei-note hiyo. Vijana wadogo wanaendekeza ufisadi; wanatamani kumiliki European cars ndani ya miezi 6 ya ajira zao.Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka
... European cars na mademu wakali vinawatesa sana vijana!Mmmh! Wana moto balaa....
Ila jamii nayo inawaponza kwa mfano jamaa ana miaka miwili TRA ana miliki kigari IST basi tunamrushia kejeli kila tukikutana naye.....TRA gan hiyo
Hata kwenye misiba na bar tunamkazia alipie bill Kwan anafanya TRA
Kijana acha wivu nina dogo yuko huko ameajiriwa mwaka jana TRA sasa ulitaka wakajifunzie wapi hizo kazi nyie ndo mnaotangaza experience 15 years graduater waendelee kuteseka mtaani.Ukifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.
Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana wapya wasiokuwa na uzoefu. Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka kupitia wafanyabiashara.
Ukiangalia wakati wa Serikali ya awamu ya tatu ukusanyaji wa kodi ulikuwa mkubwa sana bila kuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na TRA.
Ni wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa
Wanataka baada ya mwaka wanakuw Na nyumba , gari Na pisi kaliUkifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.
Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana wapya wasiokuwa na uzoefu. Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka kupitia wafanyabiashara.
Ukiangalia wakati wa Serikali ya awamu ya tatu ukusanyaji wa kodi ulikuwa mkubwa sana bila kuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na TRA.
Ni wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa
Wezi kila KonaNi wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa
Mansion sio nyumba jumba la million 800/900 huko au hata BWanataka baada ya mwaka wanakuw Na nyumba , gari Na pisi kali
Hata si hao tu jamii yetu in general omekosa maadili .nchini tanzania hakuna mtu unaweza muapproach kupata huduma asijaribu ujanja.ujanja its sad watu wanavyoishi tumekuwa jamii ya mishe mishe... nimei-note hiyo. Vijana wadogo wanaendekeza ufisadi; wanatamani kumiliki European cars ndani ya miezi 6 ya ajira zao.
Nadhani hujamwelewa vizuri mleta mada, angalia, mimi nilipo wafanyakazi wote waliondolewa wakaketwa hao wanafunzi, unadhani hiyo ni sahihi? Wafanyakazi nwanatakiwa kuhamishwa hawamu kwa hawamu sio utoe wote kwa wakati mmoja, sheria peke yake haifanyi kazi inatakiwa na akili binafsi iwepo pamoja na uzoefu, hata ukienda benki wapo wateja mhudumu wa benki akiwaona anatafuta namna ya kuwahudumia ili watoke haraka japo wateja wote wana haki sawa.Na elewa kuwa mtu anapoanza kazi anakuwa hajui chochote mpaka afundishwe na wenyeji wake.Kijana acha wivu nina dogo yuko huko ameajiriwa mwaka jana TRA sasa ulitaka wakajifunzie wapi hizo kazi nyie ndo mnaotangaza experience 15 years graduater waendelee kuteseka mtaani.
Hizo kazi siwanafanya chini ya wazoefu na wanaelekezwa ndani ya usimamizi maalum kwa miongozo ya sheria za kodi au unafikira hakuna mikakati watu km nyinyi ndo mnakuwa wachawi acha wivu acha madogo wale neema ya nchi ili mradi hawavunji sheria za misingi ya kazi
Vijana wapya wengi ni wazanzibari wa Samia. Kweli tunahitaji katiba mpya ili na muungano utazamwe upyaUkifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.
Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana wapya wasiokuwa na uzoefu. Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka kupitia wafanyabiashara.
Ukiangalia wakati wa Serikali ya awamu ya tatu ukusanyaji wa kodi ulikuwa mkubwa sana bila kuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na TRA.
Ni wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa
tatizo la kodi sio kkoo tu Kuna malalamiko mengi katika mfumo wa kodi. TRA wana' uplift kila invoice unayo lodge hata kama una supporting documents kama TT bado 'miungu watu wa TRA' hawakubali. Hili pia ni tatizo.Ukifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.
Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana wapya wasiokuwa na uzoefu. Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka kupitia wafanyabiashara.
Ukiangalia wakati wa Serikali ya awamu ya tatu ukusanyaji wa kodi ulikuwa mkubwa sana bila kuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na TRA.
Ni wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa
100% uko sahihi.Ukifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.
Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana wapya wasiokuwa na uzoefu. Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka kupitia wafanyabiashara.
Ukiangalia wakati wa Serikali ya awamu ya tatu ukusanyaji wa kodi ulikuwa mkubwa sana bila kuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na TRA.
Ni wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa
Nadhani hujamwelewa vizuri mleta mada, angalia, mimi nilipo wafanyakazi wote waliondolewa wakaketwa hao wanafunzi, unadhani hiyo ni sahihi? Wafanyakazi nwanatakiwa kuhamishwa hawamu kwa hawamu sio utoe wote kwa wakati mmoja, sheria peke yake haifanyi kazi inatakiwa na akili binafsi iwepo pamoja na uzoefu, hata ukienda benki wapo wateja mhudumu wa benki akiwaona anatafuta namna ya kuwahudumia ili watoke haraka japo wateja wote wana haki sawa.Na elewa kuwa mtu anapoanza kazi anakuwa hajui chochote mpaka afundishwe na wenyeji wak
Nimemuelewa vizuri mtoa mada naww km nimfanyakazi wa TRA Lazima utakuwa mzee mwenye chuki na hawa watoto wanao kuja kufanya kazi kama zenu ilo la kutolewa wafanyakazi wote wakongwe haliwezakani huo ni uongo ni sawa nakusema wanaajiriwa madaktari new fresh from school waekwe pale moi bila uangalizi wa waenyeji serikali hawafanyi huo mchezo hata siku moja siwataenda kuwaua watu.Nadhani hujamwelewa vizuri mleta mada, angalia, mimi nilipo wafanyakazi wote waliondolewa wakaketwa hao wanafunzi, unadhani hiyo ni sahihi? Wafanyakazi nwanatakiwa kuhamishwa hawamu kwa hawamu sio utoe wote kwa wakati mmoja, sheria peke yake haifanyi kazi inatakiwa na akili binafsi iwepo pamoja na uzoefu, hata ukienda benki wapo wateja mhudumu wa benki akiwaona anatafuta namna ya kuwahudumia ili watoke haraka japo wateja wote wana haki sawa.Na elewa kuwa mtu anapoanza kazi anakuwa hajui chochote mpaka afundishwe na wenyeji wake.
TRA need to go digital to resolve all issuesUkifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.
Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana wapya wasiokuwa na uzoefu. Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka kupitia wafanyabiashara.
Ukiangalia wakati wa Serikali ya awamu ya tatu ukusanyaji wa kodi ulikuwa mkubwa sana bila kuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na TRA.
Ni wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa
Tatizo kubwa sio TRA sio kwamba na watetea tatizo kubwa ni wabunge,hawa ndio wanapitisha hizi sheria za kodi makusudi mazima kwasabu walichaguliwa na mwendazake hawa jamaa wanajiwakilisha wenyewe na waliowaweka pale,tukitaka kumaliza matatizo aya tuanze na ccm sio TRA .TRA need to go digital to resolve all issues
Wafukuzwe tuu... nimei-note hiyo. Vijana wadogo wanaendekeza ufisadi; wanatamani kumiliki European cars ndani ya miezi 6 ya ajira zao.