Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
Itel 1506 [emoji4] [emoji4]Ni simu aina gani?
Hiyo ni binamu yake tecno.Itel 1506 [emoji4] [emoji4]
Betri unaweza kubadilisha hata kama ni la ndani, nenda kwa fundi akubadilishie kama tatizo ni betri,Wadau na wataalamu. Simu yangu ilikuwa na tatizo la mfumo Wa chaji. Unaweka chaji Leo basi mpaka kesho ni 3% tu. Nikanunua charger tatizo bado. Sasa nimepeleka kwa FUNDI akaniambia kuna tatizo katika charging system na akanirekebishia. Tatizo likapona kiasi japo charge inaingia isipokuwa kwa kuchelewa tofauti na hapo awali. Lakini pia ikijaa 100% inashuka faster sana.. Na betri ni ya ndani kwa ndani kwa maana kwamba siwezi kuibadilisha. MSAADA WENU PLEASE CHA KUFANYA mbali na kuuza
daaah, kupiga kelele zote izo simu yenyewe ni aiteli?Itel 1506 [emoji4] [emoji4]
Samsung zile zinazolipuka zenyewe?daaah, kupiga kelele zote izo simu yenyewe ni aiteli?
itupe takataka iyo chukua samsung mkuu
Hivi kumbe yawezekana? Huwa najua simu za internal battery ikifa ndo basiBetri unaweza kubadilisha hata kama ni la ndani, nenda kwa fundi akubadilishie kama tatizo ni betri,
Hayo mabetri yapo
Zipo nyingi tuu, ila changamoto ni kwamba uende kwa fundi akuwekee, maana ni lazima simu ifunguliwe.Hivi kumbe yawezekana? Huwa najua simu za internal battery ikifa ndo basi
[emoji28] [emoji28] ila simu ni simu mkuu, cha muhimu mawasilianodaaah, kupiga kelele zote izo simu yenyewe ni aiteli?
itupe takataka iyo chukua samsung mkuu
simu kama izo na ndugu zake akina tecno, huwa tunatupa zikisumbua maana utatengeneza bei inazidi gharama ya simu yenyewe[emoji28] [emoji28] ila simu ni simu mkuu, cha muhimu mawasiliano
Usilazimishe niishi vile unavyotaka.. Namuona ibilisi..[emoji35] [emoji35]daaah, kupiga kelele zote izo simu yenyewe ni aiteli?
itupe takataka iyo chukua samsung mkuu