Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Jan 1, 2016 #21 Wengi vilaza humu
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,573 Jan 1, 2016 #22 Dah kwanza pole. Pili taarifa.hiyo simu hata kwa elfu sabini hutakiwi kununua ni fake ambayo ni feki. Kwa hela hiyo ungenunua hata huawei 530 au tecno h6.unge enjoy. Ila ndio unajifunza lakini.
Dah kwanza pole. Pili taarifa.hiyo simu hata kwa elfu sabini hutakiwi kununua ni fake ambayo ni feki. Kwa hela hiyo ungenunua hata huawei 530 au tecno h6.unge enjoy. Ila ndio unajifunza lakini.
imbegete JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,299 Reaction score 994 Jan 1, 2016 Thread starter #23 mkorinto said: Dah kwanza pole. Pili taarifa.hiyo simu hata kwa elfu sabini hutakiwi kununua ni fake ambayo ni feki. Kwa hela hiyo ungenunua hata huawei 530 au tecno h6.unge enjoy. Ila ndio unajifunza lakini. Click to expand... Kweli mkuu asante
mkorinto said: Dah kwanza pole. Pili taarifa.hiyo simu hata kwa elfu sabini hutakiwi kununua ni fake ambayo ni feki. Kwa hela hiyo ungenunua hata huawei 530 au tecno h6.unge enjoy. Ila ndio unajifunza lakini. Click to expand... Kweli mkuu asante
imbegete JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,299 Reaction score 994 Jan 1, 2016 Thread starter #24 mkadiriajimajenzi said: Ni sony experia gani? Click to expand... Mkuu cha maana nachokiona pale kwenye about phone ni Model number V3+ , nimeshakubali kweli hii ni fake, ngoja nijipange kutafuta kitu kingine. Asanteni wote mlioguswa.
mkadiriajimajenzi said: Ni sony experia gani? Click to expand... Mkuu cha maana nachokiona pale kwenye about phone ni Model number V3+ , nimeshakubali kweli hii ni fake, ngoja nijipange kutafuta kitu kingine. Asanteni wote mlioguswa.
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,357 Jan 1, 2016 #25 Pole kwa kuliwa
Jim007 2 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 395 Reaction score 247 Jan 1, 2016 #26 Hahahah umekubali kilaini hivyo mbona??....mtafute alokuona bwege umpe vitasa mpaka aseme nini hichi!??
Hahahah umekubali kilaini hivyo mbona??....mtafute alokuona bwege umpe vitasa mpaka aseme nini hichi!??
G golota JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 538 Reaction score 157 Jan 1, 2016 #27 Hiyo fake tupa haraka itakulipukia muda wowote