Tatizo la storage Nokia n9

cyrax

Senior Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
110
Reaction score
109
Wadau salam Nina Nokia n9 ambayo internal storage yake ni 31GB lakini katika matumizi ya simu inalazimisha kutumia almost 600 mb
Pia application nyingi zinacolapse zenyewe.
* ni 4G LTE
*android 7.0
*internal 30gb
Mwenye uelewa wa jinsi ya kusolve hili tatizo anisaidie au wap nitaweza kupata ufumbuzi wake.
 
nokia n9 imetoka 2011 ikitumia meego kama os yake,mkuu hii yako yenye android 0reo inanivutia kuiona.

internal storage huwa inaenda hivi,1gb,2gb,4gb,8gb,16gb,32gb,64gb,
kwa hiyo yako ilitakiwa iwe na 32gb,zitumike zibaki walau 24gb,sasa hii 30 inachanganya kidogo.

mchina.
 
Mkuu ina 31gb na point iv
Hii imetengenezwa Finland ase bt sielewi imekueje
 
Simu za zamani za nokia zinakuwa na internal storage mbili, moja inakaa os na system apps na nyengine inaitwa mass storage kwa ajili ya vitu vyako vyengine.

Hapo ni either simu haiioni hio storage kupitia hio os ama imekufa hio storage.

Hio simu ni dual boot ama triple boot? Ukiwasha haikuambii uchague os? Kama inakuambia jaribu kuingia os nyengine kama nemo ama meego uone kama huko pia storage haionekani? Kama haionekani basi itakuwa imekufa na kama inaonekana ni tatizo la android itabidi uieke upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…