Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

Nilikuwa nayo yangu ilikuwa haikai na charge na pia ilikuwa inachemka sana hadi battery lilivimba
 
Tafuta a71 imekamilika kila idara ram igb rom 128gb 5G camera megapixels 64
 

jamaa kaamua ajifariji na Tecno yake dhidi ya S7 Mbovu
 
Mkuu sakiti ndo mother board kama ni ivo na mimi naitaji msaada naipata wapi maana nina s7edge haipigi picha inasema camera failed.
 

Attachments

  • Screenshot_20201122-115148.png
    16.2 KB · Views: 26
jamaa kaamua ajifariji na Tecno yake dhidi ya S7 Mbovu
Mm nizipenda sana samsungu licha ya kuwa nyingine zina shita au changamoto tunakutana nazo lakni naombeni ushauli ninunie simu gani ambayo itanipa laha ahhana na tecno nataka sansungu kati ya s vs note maana hizi ndio samsungu kweli sio wanao ninia lisence na kujiita samsungu.
 
Alafu we jamaa acha kutufanyia maksudi humu jukwaani, ina maana haujui kuandika vizuri kweli au umechoshwa na hii tozo ya mambo ya luku na kadhalika[emoji12]
 
Lakini utakuwa hupokei notifications kwa wakati mkuu.
 
Samsung s7 edge ni rejeta aina ya simu
Zinawah kuisha chaj
Kuchemsha
Kupata moto
Kupasuka kioo
Kutoa mstar
Kutoa vidot vyeusi

Chaji, Kutoa mstari ndio kawaida yake yaani s7 inamatatizo sana... samsheeps mnisamehe nasema ukweli

Haaf hizi si ndio zililipukaga au[emoji23] au sio
 
Yaani uzi ni wa zamani nikataka kumjibu.
 
Samsung shida yake kubwa ni charge..hapo bado haijaanza kuzima yenyewe hata ikiwa na 80%
Hhaha! Ni kweli,kwa kulinganisha Samsung wa changamoto kwenye betri (hii ni hoja ya jumla lakini, si kwamba kila simu yao imechoka). Ninadhani kuna shida na ubora wa bidhaa unahusika. Baadhi ya hizi bidhaa hasa hapa tz ni fake (si halisi) au duni (zimetengenezwa chini ya kiwango).Hii inaongeza ukubwa wa tatizo. Sisi nchi zetu ndo tunaonewa sana kwa tatizo hili. Si kwamba huko majuu hakuna hizi changamoto, bali kwa kulinganisha, kwetu tatizo ni kubwa mno. TBS ipo chini ya kiwango. Huwezi kuwauzia wazungu bidhaa hizi za kwetu ukadumu kihivyo kwenye soko. Nilinunua Galaxy S7 (binamu yake hiyo EDGE) Marekani. Nilikaa nayo miaka mitatu, kitu kiko bomba. Baada ya miaka hiyo mitatu ndo ikaanza kukimbiza chaji.

Kwahiyo, yapo matoleo ni mazuri tu hayana shida na mengine ni shida. Lakini, suala la ubora kulingana na simu imeuzwa wapi tusilipuuze. Huyu mtoa post anasema amebadili betri, sijui kainunua wapi betri. Kama ni kwa hawa wajanjawajanja wa bongo bado unaweza usione mabadiliko, huenda nazo ni zilezile tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…