Kwa kawaida ya wabrazil akishakuwa gumzo sana Brazil kabla ya kuja Ulaya lazima achemshe akija ulaya kwani anakuwa hafundishiki kwa imani za kijinga ya kuwa Brazil ndio kila kitu kwenye soka. Ndicho kilichomuua Robinho, na ndicho nakiona kwa Neymar kama atakuja Ulaya. Wale wote waliotamba Ulaya kama Ronaldo, Rivaldo, Carlos, Kaka, Ronadinho, etc waliibuliwa toka Brazil sio kama Mastaaa, walichukuliwa kama wachezaji wadogo wenye vipaji, mambo wakayaanzia ulaya na ndio maan wakang'ara. Na ndicho ninachokiona kwa Ramirez na hata Oscar kwa sasa. Moura???????