Tatizo la rangi ya bluu katika laptop

Tatizo la rangi ya bluu katika laptop

hilo tatizo linaitwa blue screen of death, actually sio kwamba imekufa la hasha cha msingi ikiweka hayo maandishi ya blue piga picha tuone yanasemaje hilo tatizo linatibika ondoa hofu, leta picha tujue pakuanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom