Jaribu ku install hii apps kisha turn on iwe ina run..Of course hii hutokea zaidi simu ikiwashwa data.
Apk android application package unaijua ni nini?Acheni kuinstall app za sehemu zisizoeleweka, tumia PlayStore pake yake! Kitu rahisi cha kufanya ni kufanya reset hiyo simu iwe kama mpya, hii itafuta apps na setting zote, hii ipo kwenye setting za simu.
APK ndo program ya Android ambayo unaiinstall kwenye simu, ila sioni inahusika vipi na topic hii.Apk android application package unaijua ni nini?
Playstore ndo haina apps zenye adds? Adds haziepukiki kama huna adblocker mkuu.Acheni kuinstall app za sehemu zisizoeleweka, tumia PlayStore pake yake! Kitu rahisi cha kufanya ni kufanya reset hiyo simu iwe kama mpya, hii itafuta apps na setting zote, hii ipo kwenye setting za simu.
Playstore ndo haina apps zenye adds? Adds haziepukiki kama huna adblocker mkuu.
Pia factory reset haimtoi adware kiulaini hivyo
Playstore ina apps nyingi tu mbovu... Tena adds za kutosha... Labda kama ww ni mtu wa pro. Vinginevyo free apps nyingi znakuja na adds.App za Playstore hazina pop up wala notification Ads, hizi ni Ad zinazotokea wakati unatumia program zengine. Haziruhusiwi Playstore. Google pia wanascan app zote za Playstore for malware na wanauwezo wa kuifuta app kwenye simu za watumiaji ikigundulika ina malware baadae.
Rufanya reset kutaondoa 99% ya malware, kuna malware chache sana ambazo zinajaribu kuiroot simu yako no hivyo kuweza kupona hata ukifanya reset, jaribu kufanya reset kwanza halafu ona kama tatizo linaendelea.
Playstore ina apps nyingi tu mbovu... Tena adds za kutosha... Labda kama ww ni mtu wa pro. Vinginevyo free apps nyingi znakuja na adds.
Adware wa android bila kuroot kumtoa ni issue... Uta restore simu mara 100
Narudia ukitaka kuepuka adds make sure una adblocker nzur tu ndo solution ya maana
Kuna launcher nilishuhudia inaleta mpka pop up...na hizo hizo inbuilt adds ndo huwa source ya matatizo mda mwingine. Kikubwa ni kuepuka adds za aina yyte mana zingine zina ku direct mpka kweny site zenye malware...Unachangaya vitu tofauti, app za Playstore zina Ads ndani yake tu.
Tatizo analopata ni popup Ads, yaani hata akienda kwenye kuandika SMS Ad inakuja juu yake. Hakuna Ads za namna hii kama unainstall App za Playstore tu. Afanye reset, kama kuna malware itapona afuate ushauri mwigine hapo juu.