Tatizo la playstore kutodownload

medisonmuta

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
2,442
Reaction score
1,527
Kuna simu hapa aina ya android inasumbua kudownload apps playstore. Inaonyesha alama ya kuload bila mafanikio yoyote.Nimejaribu kufuta data playstore kwenye settings lakini bado tatizo.
Msaada wa tatizo hilo tafadhali.
 
Mkuu jaribu ku-wipe hiyo simu then uingize upya apn settings
 
Embu jaribu kuwipe data kwenye Google play services.
 
Kuna simu hapa aina ya android inasumbua kudownload apps playstore. Inaonyesha alama ya kuload bila mafanikio yoyote.Nimejaribu kufuta data playstore kwenye settings lakini bado tatizo.
Msaada wa tatizo hilo tafadhali.
Unatumia mtandao gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…