Tatizo la password kwenye dell d505

Tatizo la password kwenye dell d505

Ngosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
391
Reaction score
191
Habari wana JF
Nina laptop aina ya dell sasa inadai password wakati inawaka inaleta white sreen na kuandika "This Computer System is Protected By a PasswordAuthentication System"

Msaada kwenye tuta
 
Mwl. RCT, C6, Chief - Mkwawa

saidieni hapo jmn
 
Bios password wanasema ukitoa cmos battery kwa mida wa dk 3 ukarudisha itafanya kazi ila utapoteza configrations zote namaanisha hata system clock itajereset. Au u jam jumper switches either way u are killing the laptop.. Kama umenunua kwa mtu akipe tu password kama hana jisalimishe polisi maana kuna mtu juzi kawekwa ndani kisa kununua laptop ya wizi
 
Back
Top Bottom