Tatizo la Nokia x2-01

furaha2008

Member
May 31, 2012
24
0
Jamani naombeni msaada cmu yangu nikifungua sehemu ya games inajiload afu baada ya sekunde kadhaa inajizima na nikichezea button inajirestart yenyewe xo nimeshindwa kuelewa hili ni tatizo gani na ufumbuzi wake ni upi na kinachoniuma zaidi kwenye game ndo nimedownload kila ki2. Natanguliza shukrani kwa wana jamvi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom