Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

Jana shemeji yangu mke wa rafiki yangu amenipigia simu anaomba tuonane. Huyu ni ni mke wa rafiki yangu mkubwa. Ambaye tumekuwa pamoja na tumekuwa karibu katika shida na raha hali iliyopelekea hata wake zetu na sasa watoto wetu kuwa marafiki. In short ni kama ndugu ingawa tulikutana naye A level.

Sasa kesi aliyoniletea huyu shemeji yangu imeniacha hoi. Shemeji yangu ana kitu kinamtatiza kweli kweli. Kitu chenyewe ni kwamba jamaa kapungukiwa nguvu za kiume kiasi cha kushindwa kufanya tendo la ndoa.Kwa mujibu wa shemeji yangu wana kama miezi 9 sasa wameshindwa kabisa kuinjoy tendo yao. Jamaa uume hausimami barabara hali inayosababisa kushindwa kuingia tunduni. Lakini akiuchezea katika hali hiyo hiyo ua ulege lege anakoja, tatizo hauwezi kuingia.

Shemeji alimshauri jamaa waende hospitali lakini jamaa hataki. Akamshauri aombe ushauri kwa rafiki zake lakini kwa sababu zilizo wazi jamaa nafikiri anaona aibu kuomba ushauri. Sasa ndipo shemeji kaondoa aibu na kunivaa na kwa kuwa anajua mimi ni mzima habari hii haitakuwa na madhara kwa pande zote.

Na ameniambia jana jioni walikubaliana shemeji anitafute waniambie niwape ishauri. Kwa mujibu wa shemeji jamaa anadai kwenda hospitali ni kujichoresha tu kwani ana amini hakuna dawa labda miti shamba lakini hazijui na anaogopa kuingia mkenge kwa waganga matapeli waliojaa hapa Dar. Shemeji alikuwa anaongea kwa uchungu na huruma sana.

Mimi nimemshauri atumie asali ya nyuki wadogo achanganye na mdalasini. Kijiko kikubwa asubuhi na kingine jioni kwa muda mwezi. Hii dawa niliisomaga humu Jamiiforums siku nyingi zilizopita lakini sijawahi kutumia wala kupata ushuhuda wa mtu aliyetumia. Afya ya mshikaji ni njema tu anafanya mazoezi, hanywi pombe wala kutumia kileo chochote kile.

Nimemwaminisha shemeji kuwa hiyo ndo dawa komesha na tatizo litaisha baada ya mwezi. Kesho nitakutana na jamaa na pia natarajia kumuaminisha kuwa hiyo ni dawa. Nachotaka kujua kutoka kwa wadau hapa je hiyo ni dawa kweli. Je kuna mtu amaefanikiwa kupona tatizo kama hili? Je tiba yake nini?

Asanteni

Si useme tu kuwa Jongoo wako hapandi mtungi ili wataalam wakusaidie badala ya kuficha ficha na kumsingizia rafiki yako?

Yaan mke wa rafiki yako aje kukusimulia aibu za Mumewe?? Sidhani kama ni kweli!! Ww tafuta wataalam watakutibu na utapona tu na kuwa fiti!!

Pole sana ndugu yangu!!!!!!
 
Fanya mazoezi mkuu ruka kamba, kimbia kufungua mapafu na kupata pumzi ya kutosha coz huna mzunguko mzuri wa damu.
 
Jamani Wana JF. Niwambie ukweli hili ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi sana kwa utafiti wangu ingawa wengi hawa pendi kujitokeza na matokeo yake ndoa zao zimeharibika. Mimi nilisha ambiwa tatizo hili na kijana ana umri wa miaka 21 na wengi wenye umri mkubwa pia. sababu zipo nyingi. Lishe duni, msongo wa mawazo,kujichua, magonjwa mbalimbali kama kisukari, cholestra inayoweza punguza msukumo wa damu nk. Lakini lishe duni ina mchango mkubwa zaidi ndiyo maana wengi wamemshauri ale vyakula kama asali, pweza, amdalasini,maboga na mbegu zake, tangawizi nk. Tumia na kama bado ana tatizo anitafute nizungumze nae kitaalamu zaidi. Hizi kesi nimekutana nazo nyingi anaweza nitafuta kwa 0689 417 472
 
Hili tatizo limekua sana miaka ya 2000's hasa kwa waliokua na miaka 16 ambapo punyeto ziliongezeka sana kutokana na ushawishi wa picha na video za ngono zilizotokana na ukuaji wa technologia km simu za kisasa i.e GPRS na phonerotic km mnakumbuka hasa kwa sisi tuliosomaga shule za bweni!,na punyeto kuacha ni kazi kwelikweli ,mi nmeacha japo jogoo hayuko strong sana ila ndo naeka malengo ya kuanza tizi ya kutosha pia natumia sana tangawizi na mdalasini,natafuna sana tende,natafuna nyanya chungu,nameza kitunguu swaumu!,nina mpango wa nitatafuta mlonge,asali wa nyuki wadogo,nitafanya meditation kupunguza mawazo,nitatafuta mafuta ya mzeituni ili niwe nauchua uume pamoja na kunywa kijiko kimoja daily,.
Nmegundua nina tatizo baada ya kulala na wadada wawili tofauti na bao la kwanza linatoka haraka,uume unachelewa kucmama na ukusimama bado bao la pili linatoka haraka hadi aibu.
Sishangai maana nna mwaka mzima sijasex na nlikua natimiza haja yangu kwa punyeto japo sio kila siku ila ni mara moja au mbili kwa wiki ambapo nlikua najipigia kabao kamoja ka kupunguza stress.
Hii kitu ukiona aibu bila kutafuta suluhu itakuumbua sana,japo mdada wa kwanza nlielala nae alitaka nimwambie tatizo langu ila sikumwambia maana natambua tatizo na nitalishughulikia.,nina siku 20 sasa toka niache nyeto na nitajitahidi nifikishe 40 k alivosema Mzizi mkavu kwamba ukifikia hapo utakua umeacha kabisa,hizo dawa hapo juu ni kwa hisani ya jf na mitandaoni.
 
Nitamchekia ankol wangu mana umri umeenda ila bado anahitaji kupiga mzigo kama kawa..
 
Haya hapa ni matibabu yake wapendwa
Hello Dear friends and everyone ...........some people have sexual potency problems in their relationship and marriage too, this is due to different facts such as High stress, hormonal problems,and others do affect sexual desire and ability.....Do not worry about it, I'm here to recover this problem
Here are some of our products you can you to recover from sexual potency problems
1. VIG POWER CAPSULES, Here are some of it's functions (a ) Conserves the vital power and strengthens the sexual ability through replenishing kidney (b ) Increases sperm count and improves sperm mobility (c ) Increases sexual desire of men, enhances the Oxygen content in blood which helps in penis erection for normal sexual performance. (d ) Helps with sexual dysfunctions such as premature ejaculation, erectile dysfunction or frequent spermatorrhea.
2. ZINC TABLES, Here are some of it's functions. (a ) Essential for optimal physical performance and energy levels. (b ) for protein synthesis and proper function of red and white blood cells. (C ) Participates in synthesize of more than 200 metalloprotease and nucleic acid. (D ) Enhances immunity and accelerates would healing. (e )Supports reproductive system of men and women and helps with infertility....
WENYE MATATIZO YA NDOA NA UHUSIANO WA KIMAPENZ KWA SABABU YA UPUNGUFU WA TENDO LA NDOA AU KUTOWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA , HILO TATIZO LINATIBIWA NA KUONDOKA KABISA NA KURUDISHA HESHIMA YAKO YA NDOA AU UHUSIANO WAKO WA KIMAPENZI KATIKA UBORA WAKE NA MVUTO PIA.............KWA PAMOJA KILA TATIZO TWAWEZA LITATUA KAMA TUTAPATA TAARIFA KAMILI NA MATIBABU SAHIHI.....ASANTENI SANA
FOR MORE DETAILS CALL ME BY 0654158574/0765353056/0684974811
..................................................WE SHARE, WE CARE.......WELCOME
 
Unaongelea swala linalohusu afya. Jitahidi kuwa organised kwenye maelezo. Jitahidi kidogo kwenye communication skills. First impression matters....
 
Mara nyingi watu wanakwenda kutibu "symptoms' za kukosa nguvu za kiume badala ya kutatua chanzo cha tatizo.

Mtu anakunywa pombe daily, kitambi kilo 20, mazoezi hajafanya miezi 12 nguvu zitatoka wapi? Watakula sana hizo pills na wala hakutakuwa na mabadiriko ya maana
 
mi ninayo ya kwangu inatwa "Supa bana kongo" lazima mtu aombe poo!!
 
Hili tatizo limekua sana miaka ya 2000's hasa kwa waliokua na miaka 16 ambapo punyeto ziliongezeka sana kutokana na ushawishi wa picha na video za ngono zilizotokana na ukuaji wa technologia km simu za kisasa i.e GPRS na phonerotic km mnakumbuka hasa kwa sisi tuliosomaga shule za bweni!,na punyeto kuacha ni kazi kwelikweli ,mi nmeacha japo jogoo hayuko strong sana ila ndo naeka malengo ya kuanza tizi ya kutosha pia natumia sana tangawizi na mdalasini,natafuna sana tende,natafuna nyanya chungu,nameza kitunguu swaumu!,nina mpango wa nitatafuta mlonge,asali wa nyuki wadogo,nitafanya meditation kupunguza mawazo,nitatafuta mafuta ya mzeituni ili niwe nauchua uume pamoja na kunywa kijiko kimoja daily,.
Nmegundua nina tatizo baada ya kulala na wadada wawili tofauti na bao la kwanza linatoka haraka,uume unachelewa kucmama na ukusimama bado bao la pili linatoka haraka hadi aibu.
Sishangai maana nna mwaka mzima sijasex na nlikua natimiza haja yangu kwa punyeto japo sio kila siku ila ni mara moja au mbili kwa wiki ambapo nlikua najipigia kabao kamoja ka kupunguza stress.
Hii kitu ukiona aibu bila kutafuta suluhu itakuumbua sana,japo mdada wa kwanza nlielala nae alitaka nimwambie tatizo langu ila sikumwambia maana natambua tatizo na nitalishughulikia.,nina siku 20 sasa toka niache nyeto na nitajitahidi nifikishe 40 k alivosema Mzizi mkavu kwamba ukifikia hapo utakua umeacha kabisa,hizo dawa hapo juu ni kwa hisani ya jf na mitandaoni.
nyanya chungu na vitunguu swaum visaidia nn
 
Aisee mm nmeachika kwa hilo tatzoo.... Na mm naamin nitalishughulikiaa
 
Back
Top Bottom