Ekyoma JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,177 Reaction score 2,805 Dec 1, 2017 #1 Wakuu mimi ni wale wanaopenda kufunga ndevu nyingi adi zikafunika sura. Tatizo kila vikianza kuchomoza kidogo tu kidevu kinawasha adi nalazimika kunyoa. Je kuna tatizo la kiafya au ni namal tu ndevu kuwasha.
Wakuu mimi ni wale wanaopenda kufunga ndevu nyingi adi zikafunika sura. Tatizo kila vikianza kuchomoza kidogo tu kidevu kinawasha adi nalazimika kunyoa. Je kuna tatizo la kiafya au ni namal tu ndevu kuwasha.
P princewilly JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 259 Reaction score 528 Dec 1, 2017 #2 Ekyoma said: Wakuu mimi ni wale wanaopenda kufunga ndevu nyingi adi zikafunika sura. Tatizo kila vikianza kuchomoza kidogo tu kidevu kinawasha adi nalazimika kunyoa. Je kuna tatizo la kiafya au ni namal tu ndevu kuwasha. Click to expand... Baada ya kunyoa huwa unapaka nn
Ekyoma said: Wakuu mimi ni wale wanaopenda kufunga ndevu nyingi adi zikafunika sura. Tatizo kila vikianza kuchomoza kidogo tu kidevu kinawasha adi nalazimika kunyoa. Je kuna tatizo la kiafya au ni namal tu ndevu kuwasha. Click to expand... Baada ya kunyoa huwa unapaka nn
Ekyoma JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,177 Reaction score 2,805 Dec 1, 2017 Thread starter #3 princewilly said: Baada ya kunyoa huwa unapaka nn Click to expand... Sipaki chochote mkuu
S stable JF-Expert Member Joined Apr 21, 2012 Posts 307 Reaction score 441 Dec 2, 2017 #4 Nami ninatatizo kama lako, na mbaya zaidi upande wangu mimi ndevu huwasha sana na baadae kutokwa na vipele. Nalazimika kunyoa mara kwa mara. Wataalamu tusaidieni nini tufanye ili kumaliza hili tatizo sugu.
Nami ninatatizo kama lako, na mbaya zaidi upande wangu mimi ndevu huwasha sana na baadae kutokwa na vipele. Nalazimika kunyoa mara kwa mara. Wataalamu tusaidieni nini tufanye ili kumaliza hili tatizo sugu.
P princewilly JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 259 Reaction score 528 Dec 2, 2017 #5 Ekyoma said: Sipaki chochote mkuu Click to expand... Embu jarbu kukanda na kitambaa cha maji ya moto ukishamaliza kunyoa itakusaidia hutakaa uone pele wala kusikia muwasho
Ekyoma said: Sipaki chochote mkuu Click to expand... Embu jarbu kukanda na kitambaa cha maji ya moto ukishamaliza kunyoa itakusaidia hutakaa uone pele wala kusikia muwasho
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Dec 2, 2017 #6 Unayoa kwa kutumia nini? Mkasi, wembe, mashine au Magic?
busby Senior Member Joined Apr 12, 2012 Posts 164 Reaction score 62 Dec 2, 2017 #7 Nichumu Nibebike said: Unayoa kwa kutumia nini? Mkasi, wembe, mashine au Magic? Click to expand... Kwa mashine mkuu
Nichumu Nibebike said: Unayoa kwa kutumia nini? Mkasi, wembe, mashine au Magic? Click to expand... Kwa mashine mkuu
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Dec 2, 2017 #8 busby said: Kwa mashine mkuu Click to expand... Basi jaribu kutumia magic...
S stable JF-Expert Member Joined Apr 21, 2012 Posts 307 Reaction score 441 Dec 2, 2017 #9 Nichumu Nibebike said: Basi jaribu kutumia magic... Click to expand... Watu husema Magic sio nzuri kiafya. Tena pengine husababisha kansa
Nichumu Nibebike said: Basi jaribu kutumia magic... Click to expand... Watu husema Magic sio nzuri kiafya. Tena pengine husababisha kansa
cetterhutter Senior Member Joined Sep 5, 2017 Posts 167 Reaction score 75 Dec 3, 2017 #10 Nichumu Nibebike said: Basi jaribu kutumia magic... Click to expand... Daaaaa mkuu magic zinatoa upele sana mm kiukweli naona bora kutumia mashine tu
Nichumu Nibebike said: Basi jaribu kutumia magic... Click to expand... Daaaaa mkuu magic zinatoa upele sana mm kiukweli naona bora kutumia mashine tu
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Dec 3, 2017 #11 cetterhutter said: Daaaaa mkuu magic zinatoa upele sana mm kiukweli naona bora kutumia mashine tu Click to expand... Inategemea ntu na ntu! Kuna wengine magic zinawakubali wakati wengine mashine zinawakubali. Wazungu asilimia kubwa wananyoa ndevu kwa kutumia magic!
cetterhutter said: Daaaaa mkuu magic zinatoa upele sana mm kiukweli naona bora kutumia mashine tu Click to expand... Inategemea ntu na ntu! Kuna wengine magic zinawakubali wakati wengine mashine zinawakubali. Wazungu asilimia kubwa wananyoa ndevu kwa kutumia magic!
Kiparuanda JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 1,598 Reaction score 2,411 Dec 3, 2017 #12 Magic nkyoki?
F famba1212 Member Joined Nov 13, 2017 Posts 41 Reaction score 19 Dec 7, 2017 #13 Nichumu Nibebike said: Unayoa kwa kutumia nini? Mkasi, wembe, mashine au Magic? Click to expand... Au chupa?
Nichumu Nibebike said: Unayoa kwa kutumia nini? Mkasi, wembe, mashine au Magic? Click to expand... Au chupa?
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Dec 7, 2017 #14 famba1212 said: Au chupa? Click to expand... 😱😱😱
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,793 Dec 7, 2017 #15 Ekyoma said: Sipaki chochote mkuu Click to expand... Nunua kitaulo ukimaliza kunyoa na hata zikiwa zimeshaota, lowanisha kitaulo kwenye maji ya moto kisha kanda kidevu. Utajisikia vizuuri bila kuwashwa. Usipake spirit wala maujinga mengine zaidi ya lotion kwani kidevu kitakomaa kama kifuu.
Ekyoma said: Sipaki chochote mkuu Click to expand... Nunua kitaulo ukimaliza kunyoa na hata zikiwa zimeshaota, lowanisha kitaulo kwenye maji ya moto kisha kanda kidevu. Utajisikia vizuuri bila kuwashwa. Usipake spirit wala maujinga mengine zaidi ya lotion kwani kidevu kitakomaa kama kifuu.