Naxria abdalla
Senior Member
- Feb 28, 2025
- 158
- 281
Jaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
Sababu ya kuwashwa ni: JOTOJaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
Ya kuogea sio kufulia6) Sabuni ya kufulia inafanya allergies na ngozi yako(haziendani)
Sio kweli5) Maji ya kuongea yana chumvi
Sababu ya JOTO ni kweli1) Ngozi kavu
Angekua na mafua balaa2) Bed sheet chafu
Sio mwili?3) Godoro lina bacteria
Mmmh sio kweli, thibitisha4) Una minyoo
Magodoro na pillow hufanya wadudu maradhi mengi hutokana na hao. Chukua pillow au godoro(kata vipande vidogo)peleka maabara wakuangalizie utaona majibu yake.Sio mwili?
Upo sahihi, hii ni kweli.Magodoro na pillow hufanya wadudu maradhi mengi hutokana na hao. Chukua pillow au godoro(kata vipande vidogo)peleka maabara wakuangalizie utaona majibu yake.
Kuna kung’atwa kunguni usiku ukajua ni mwili unawasha tuSio mwili?
Minyoo ikikaa muda mrefu haijatibiwa inaanza kureact kwenye ngozi.. unawahwa ukijikuna unaona alama juu ya ngozi zinajichoraMmmh sio kweli, thibitisha