kekule benzene JF-Expert Member Joined Sep 28, 2016 Posts 1,967 Reaction score 4,423 Aug 10, 2023 #1 Habarini za jioni wanajukwaa Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno. Ningependa kufahamu, changamoto ipo kwenye device ipi?? na nawezaje kusolve hii shida ikiwemo GHARAMA zake Nina matumizi makubwa na ya umuhimu Sana na hii kompyuta. Naomba kuwasilisha.
Habarini za jioni wanajukwaa Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno. Ningependa kufahamu, changamoto ipo kwenye device ipi?? na nawezaje kusolve hii shida ikiwemo GHARAMA zake Nina matumizi makubwa na ya umuhimu Sana na hii kompyuta. Naomba kuwasilisha.
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,679 Reaction score 4,417 Aug 10, 2023 #2 kekule benzene said: Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno. Click to expand... Hapo sijakupata, hakuna wino? Jaribu kuupdate drivers, kwa mafundi huwa wanazo driver packs solutions
kekule benzene said: Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno. Click to expand... Hapo sijakupata, hakuna wino? Jaribu kuupdate drivers, kwa mafundi huwa wanazo driver packs solutions
kekule benzene JF-Expert Member Joined Sep 28, 2016 Posts 1,967 Reaction score 4,423 Aug 10, 2023 Thread starter #3 Uhakika Bro said: Hapo sijakupata, hakuna wino? Jaribu kuupdate drivers, kwa mafundi huwa wanazo driver packs solutions Click to expand... Shida imeanza baada ya kompyuta kuanguka Inaweza ikawa ni tatizo la driver??
Uhakika Bro said: Hapo sijakupata, hakuna wino? Jaribu kuupdate drivers, kwa mafundi huwa wanazo driver packs solutions Click to expand... Shida imeanza baada ya kompyuta kuanguka Inaweza ikawa ni tatizo la driver??
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,679 Reaction score 4,417 Aug 10, 2023 #4 kekule benzene said: Shida imeanza baada ya kompyuta kuanguka Inaweza ikawa ni tatizo la driver?? Click to expand... Hapo hapana, hapo limerudi kwenye hardware. Na mi nna akili ya software zaidi, hayo mengine kidoooogo sana. Mpelekee fundi, anaweza shauri kubadili mkanda au kioo au kingine, mtaalamu atajua tu.
kekule benzene said: Shida imeanza baada ya kompyuta kuanguka Inaweza ikawa ni tatizo la driver?? Click to expand... Hapo hapana, hapo limerudi kwenye hardware. Na mi nna akili ya software zaidi, hayo mengine kidoooogo sana. Mpelekee fundi, anaweza shauri kubadili mkanda au kioo au kingine, mtaalamu atajua tu.
kekule benzene JF-Expert Member Joined Sep 28, 2016 Posts 1,967 Reaction score 4,423 Aug 10, 2023 Thread starter #5 Uhakika Bro said: Hapo hapana, hapo limerudi kwenye hardware. Na mi nna akili ya software zaidi, hayo mengine kidoooogo sana. Mpelekee fundi, anaweza shauri kubadili mkanda au kioo au kingine, mtaalamu atajua tu. Click to expand... Ok, daah ikiwa kioo itakuwa jau sana Maana gharama yake sio poa
Uhakika Bro said: Hapo hapana, hapo limerudi kwenye hardware. Na mi nna akili ya software zaidi, hayo mengine kidoooogo sana. Mpelekee fundi, anaweza shauri kubadili mkanda au kioo au kingine, mtaalamu atajua tu. Click to expand... Ok, daah ikiwa kioo itakuwa jau sana Maana gharama yake sio poa
6WaS9 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2021 Posts 2,610 Reaction score 3,135 Aug 14, 2023 #6 Tuma picha