mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 195
Akuna kitu apoHabar zenu experts!
Nina manzi yangu, ambae kwa sasa she is about 20y/o. Nipo nar kwenye mahusiano kwa miez mitano sasa, lakin cjafanikiwa kufanya nae chochote. By 'chochote' nadhani nitakua nimeeleweka! Ni mgumu mno, kashaingia gheto at least mara tatu, lkn akitoka ni 'bila-bila'. Anasema hali hyo ya kutokua na hisia za kufany mapenz hua inamkuta. Nikahisi labda simvutii kimahaba, lkn mwenyew anadai kua alikia kwny mahusiano na wanaume wawil tofaut-tofaut kabla yngu mm, lkn hali ilikua iyoiyo. Kutokana na ugumu wakuingilika she claims to be virgin as I write this sred...
One thing abt this girl, which is abnormally different frm other galz ave dated ni kutokuvutiwa na stori zakimahaba, while wasichana wengine wanakua submissive pale unapoongea nao mamb romantic, lkn kwa huy manz hali ni tofaut, mana katikat ya stor ya kimahaba anaweza kukupa jbu linaloweza kuua iyo romantic moment iliopo...she deliberately does this!
Naomba kuuliza, tatzo linaweza kua nini kwa huyu manzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Frm her look, she's still naive. Ni back 3...bdo hana ujanja wakuchomoa kwngu. BTW frm her recent record, wavulana anaodai alitoka nao ni wawil...m1 huko kijjn kwao, mwngne apa mjini, afu mazingira ambayo hao EXs wke walokua wakiombea mchezo cyo bora kulko yng...wao walkua wanamvizia akitka shop kununua vtu bdhaa jion ndo wanambananisha...na mm nlkua namvuta gheto, lkn wote (mm na ma-EXs tuna share same results...patupu!)Keshakuona hufai. Jua kuwa romance huanza pale anapokuona uko juu. Pengine ile first day kuja kwako ulienda mnunulia zege. Halafu ukamwambia ashushie na fanta bariiidi uliyonunua hapo dukani kwa mangi. Kwako huna hata kiti ya kukalia, kitanda ya chuma ya godoro la 2" shuka imekwisha. Si wajua mambo ya gheto?? Badilika tu. Mpeleke mahali pazuri romantic uone ka hatabadilika. Siku mwenzio atakapomchukua na kumpeleka mahali, ni wiki hiyo hiyo mtoto ataanza kutamani udongo wa kichuguu nawe ukiona bila kuamini macho yako.
Hakuna mwanamke asiye romantic labda jini
Hayupo kmaslah, bdo mshamba-mshamba. Wakat nataka kumtokea hakua na sim, nikamnunulia cm, cku nawita nimpe, akaikataa alisema boss wke atamnunulia...so far hajala ata cent 5 yng....zaid ya gharama za chakula cku alipokua anakuj kwng! Nothing more!Hahaha jichunguze kwanza upo sawa maana wengine wapo ki masirahi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo pesa mkuuHabar zenu experts!
Nina manzi yangu, ambae kwa sasa she is about 20y/o. Nipo nar kwenye mahusiano kwa miez mitano sasa, lakin cjafanikiwa kufanya nae chochote. By 'chochote' nadhani nitakua nimeeleweka! Ni mgumu mno, kashaingia gheto at least mara tatu, lkn akitoka ni 'bila-bila'. Anasema hali hyo ya kutokua na hisia za kufany mapenz hua inamkuta. Nikahisi labda simvutii kimahaba, lkn mwenyew anadai kua alikia kwny mahusiano na wanaume wawil tofaut-tofaut kabla yngu mm, lkn hali ilikua iyoiyo. Kutokana na ugumu wakuingilika she claims to be virgin as I write this sred...
One thing abt this girl, which is abnormally different frm other galz ave dated ni kutokuvutiwa na stori zakimahaba, while wasichana wengine wanakua submissive pale unapoongea nao mamb romantic, lkn kwa huy manz hali ni tofaut, mana katikat ya stor ya kimahaba anaweza kukupa jbu linaloweza kuua iyo romantic moment iliopo...she deliberately does this!
Naomba kuuliza, tatzo linaweza kua nini kwa huyu manzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko inahis dem ni mchaga??Mleta sred nimependa uwasilishaji wako, wachaga wengi kama siyo wote wako hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hili ni kubwa sna kwa wanawake wengi na ishu sio kwamba ni maslahi bali ni tatizo la kibailojiaHahaha jichunguze kwanza upo sawa maana wengine wapo ki masirahi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lina tiba?! Kisayans au mbadala??Tatizo hili ni kubwa sna kwa wanawake wengi na ishu sio kwamba ni maslahi bali ni tatizo la kibailojia
Tatizo ni kubwa sna ndugu yangu
Appreciated mkuu!Nenda nae hospitali kiongozi tena shukuru kwa huyo mdada kuwa muwazi kwako maana hilo ni tatizo kubwa sana sikuhizi ni kama kwa mwanaume kupungukiwa nguvu za kiume..
Hali hiyo inasababishwa na vitu vingi hasa kwenye mambo ya biologically,nimeona comments nyingi wanakushauri kwa hisia tu,hayo maisha unayopitia kuna mwingine anapitia kwenye ndoa hapo inakuwa shida sana mkuu ila kwa kifupi jaribu kwenda kwa daktari wa wanawake kwa msaada zaidi
Tiba ya madaktari ipo
So, inabid nijaribu kumshawish aka vonsult na doc, cvyo?!Tiba ya madaktari ipo