Tatizo la mwanamke kutokua na hamu ya tendo la ndoa ni dalili ya nini?

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
277
195
Habari zenu experts!
Nina manzi yangu, ambae kwa sasa she is about 20y/o. Nipo nae kwenye mahusiano kwa miezi mitano sasa, lakini sijafanikiwa kufanya nae chochote. By 'chochote' nadhani nitakua nimeeleweka! ni mgumu mno, kashaingia gheto at least mara tatu, lakini akitoka ni 'bila-bila'.

Anasema hali hyo ya kutokua na hisia za kufanya mapenza hua inamkuta nikahisi labda simvutii kimahaba, lakini mwenyewe anadai kua alikia kwenye mahusiano na wanaume wawil tofaut-tofaut kabla yangu mimi, lakini hali ilikua iyoiyo kutokana na ugumu wakuingilika she claims to be virgin as I write this sred...

One thing abt this girl, which is abnormally different frm other galz ave dated ni kutokuvutiwa na stori za kimahaba, while wasichana wengine wanakua submissive pale unapoongea nao mambo romantic, lakini kwa huyu maniz hali ni tofauti, mana katikati ya stori ya kimahaba anaweza kukupa jibu linaloweza kuua iyo romantic moment iliopo...she deliberately does this!

Naomba kuuliza, tatizo linaweza kua nini kwa huyu manzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar zenu experts!
Nina manzi yangu, ambae kwa sasa she is about 20y/o. Nipo nar kwenye mahusiano kwa miez mitano sasa, lakin cjafanikiwa kufanya nae chochote. By 'chochote' nadhani nitakua nimeeleweka! Ni mgumu mno, kashaingia gheto at least mara tatu, lkn akitoka ni 'bila-bila'. Anasema hali hyo ya kutokua na hisia za kufany mapenz hua inamkuta. Nikahisi labda simvutii kimahaba, lkn mwenyew anadai kua alikia kwny mahusiano na wanaume wawil tofaut-tofaut kabla yngu mm, lkn hali ilikua iyoiyo. Kutokana na ugumu wakuingilika she claims to be virgin as I write this sred...

One thing abt this girl, which is abnormally different frm other galz ave dated ni kutokuvutiwa na stori zakimahaba, while wasichana wengine wanakua submissive pale unapoongea nao mamb romantic, lkn kwa huy manz hali ni tofaut, mana katikat ya stor ya kimahaba anaweza kukupa jbu linaloweza kuua iyo romantic moment iliopo...she deliberately does this!

Naomba kuuliza, tatzo linaweza kua nini kwa huyu manzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akuna kitu apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshakuona hufai. Jua kuwa romance huanza pale anapokuona uko juu. Pengine ile first day kuja kwako ulienda mnunulia zege. Halafu ukamwambia ashushie na fanta bariiidi uliyonunua hapo dukani kwa mangi. Kwako huna hata kiti ya kukalia, kitanda ya chuma ya godoro la 2" shuka imekwisha. Si wajua mambo ya gheto?? Badilika tu. Mpeleke mahali pazuri romantic uone ka hatabadilika. Siku mwenzio atakapomchukua na kumpeleka mahali, ni wiki hiyo hiyo mtoto ataanza kutamani udongo wa kichuguu nawe ukiona bila kuamini macho yako.
Hakuna mwanamke asiye romantic labda jini
 
Frm her look, she's still naive. Ni back 3...bdo hana ujanja wakuchomoa kwngu. BTW frm her recent record, wavulana anaodai alitoka nao ni wawil...m1 huko kijjn kwao, mwngne apa mjini, afu mazingira ambayo hao EXs wke walokua wakiombea mchezo cyo bora kulko yng...wao walkua wanamvizia akitka shop kununua vtu bdhaa jion ndo wanambananisha...na mm nlkua namvuta gheto, lkn wote (mm na ma-EXs tuna share same results...patupu!)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha jichunguze kwanza upo sawa maana wengine wapo ki masirahi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayupo kmaslah, bdo mshamba-mshamba. Wakat nataka kumtokea hakua na sim, nikamnunulia cm, cku nawita nimpe, akaikataa alisema boss wke atamnunulia...so far hajala ata cent 5 yng....zaid ya gharama za chakula cku alipokua anakuj kwng! Nothing more!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar zenu experts!
Nina manzi yangu, ambae kwa sasa she is about 20y/o. Nipo nar kwenye mahusiano kwa miez mitano sasa, lakin cjafanikiwa kufanya nae chochote. By 'chochote' nadhani nitakua nimeeleweka! Ni mgumu mno, kashaingia gheto at least mara tatu, lkn akitoka ni 'bila-bila'. Anasema hali hyo ya kutokua na hisia za kufany mapenz hua inamkuta. Nikahisi labda simvutii kimahaba, lkn mwenyew anadai kua alikia kwny mahusiano na wanaume wawil tofaut-tofaut kabla yngu mm, lkn hali ilikua iyoiyo. Kutokana na ugumu wakuingilika she claims to be virgin as I write this sred...

One thing abt this girl, which is abnormally different frm other galz ave dated ni kutokuvutiwa na stori zakimahaba, while wasichana wengine wanakua submissive pale unapoongea nao mamb romantic, lkn kwa huy manz hali ni tofaut, mana katikat ya stor ya kimahaba anaweza kukupa jbu linaloweza kuua iyo romantic moment iliopo...she deliberately does this!

Naomba kuuliza, tatzo linaweza kua nini kwa huyu manzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo pesa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda nae hospitali kiongozi tena shukuru kwa huyo mdada kuwa muwazi kwako maana hilo ni tatizo kubwa sana sikuhizi ni kama kwa mwanaume kupungukiwa nguvu za kiume..
Hali hiyo inasababishwa na vitu vingi hasa kwenye mambo ya biologically,nimeona comments nyingi wanakushauri kwa hisia tu,hayo maisha unayopitia kuna mwingine anapitia kwenye ndoa hapo inakuwa shida sana mkuu ila kwa kifupi jaribu kwenda kwa daktari wa wanawake kwa msaada zaidi
 
Appreciated mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom