Tatizo la mwanamke kutokua na hamu ya tendo la ndoa ni dalili ya nini?


Edmark Nich

Edmark Nich

New Member
Joined
Feb 10, 2019
Messages
4
Points
20
Edmark Nich

Edmark Nich

New Member
Joined Feb 10, 2019
4 20
Habari zenu experts!
Nina manzi yangu, ambae kwa sasa she is about 20y/o. Nipo nae kwenye mahusiano kwa miezi mitano sasa, lakini sijafanikiwa kufanya nae chochote. By 'chochote' nadhani nitakua nimeeleweka! ni mgumu mno, kashaingia gheto at least mara tatu, lakini akitoka ni 'bila-bila'.

Anasema hali hyo ya kutokua na hisia za kufanya mapenza hua inamkuta nikahisi labda simvutii kimahaba, lakini mwenyewe anadai kua alikia kwenye mahusiano na wanaume wawil tofaut-tofaut kabla yangu mimi, lakini hali ilikua iyoiyo kutokana na ugumu wakuingilika she claims to be virgin as I write this sred...

One thing abt this girl, which is abnormally different frm other galz ave dated ni kutokuvutiwa na stori za kimahaba, while wasichana wengine wanakua submissive pale unapoongea nao mambo romantic, lakini kwa huyu maniz hali ni tofauti, mana katikati ya stori ya kimahaba anaweza kukupa jibu linaloweza kuua iyo romantic moment iliopo...she deliberately does this!

Naomba kuuliza, tatizo linaweza kua nini kwa huyu manzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hilo linawatesa wengi kwa mujibu wa WHO 80% ya vijana wana tatizo hilo.

Kuna MTU amewasaidia na anasaidia wengi kuondokana na hilo...mcheki WHATSAPP namba +255743171395
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,250
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,250 2,000
Tatizo hilo linawatesa wengi kwa mujibu wa WHO 80% ya vijana wana tatizo hilo.

Kuna MTU amewasaidia na anasaidia wengi kuondokana na hilo...mcheki WHATSAPP namba +255743171395
Sawa watakucheki
 

Forum statistics

Threads 1,284,023
Members 493,932
Posts 30,809,882
Top