Kumbe karne hii bado watu wananyolea wembe.
Dawa usiwe unanyoa tako kwenye kidevu sbb nywele zinaotea ndani ya ngozi ndo sbb kuu ya kuleta vipere vya majipu, na usinyolee viwembe
OR
Fuga mzuzu harafu tafuta dawa ya kupaka kwenye ndevu ziwe laini jina nimelisahau ni elf 15 ivi, ili zisiwe zinakuwasha.
Hari ikiendelea muone mtaaalamu wa ngozi( specialist wa ngozi) atakupa ushauri zaidi