Mie nakushauri umpeleke hospital zaidi ya moja upate second opinions. Ila inategemea na mwili wa mtu, wengine huwahi kupona na wengine huugua mda mrefu. Mungu ambariki mtoto wako apate kupona, mweke sana katika sala na pole sana kwa matatizo yaliyokukuta. .