Amani iwe nanyi.
Kama kuna mtaalamu wa mambo ya TV naomba ushauri wake tafadhali:
Nimekwenda kwa watu wa TING, wamesema tatizo ni kuwa decoder yao ina-support MPEG4 while TV yangu (ni ya zamani hii) ina-support MPEG2 peke yake, hivyo ndio sababu inaonesha black&white. (StarTimes kinasupport MPEG2)
Sasa nataka kujua kama kuna uwezekano wa ku-upgrade TV yangu iweze ku-support MPEG4?
Nitashukuru kwa ushauri.

- Nimenunua decoder ya TING, nimeunga kwenye TV yangu kinaonesha black&white tuu, hakuna rangi kabisa.
- Nimejaribu kuunga decoder hiyo kwenye tv ya mtu mwingine, kimeonesha vizuri (colors)
- Nimejaribu decoder ya StarTimes kwenye TV yangu, imeonesha vizuri.