kwa haraka tu ni kwamba una ngili ya mgongo (herniated disc). ni ugonjwa unaobana neva za miguuni na kusababisha maumivu makali. nenda haraka hospitalini lka sivyo utaparalyse miguu na hata sehemu za siri hata sphincter za ******.
pole sana ndugu, unaugonjwa huitwao ngili ya uti wa mgongo (herniated disc), nenda hospitalini kama uko dar MOI haraka sana. unaweza paralyse miguu. wahi si mchezo.
Kwa tatizo laHelloww jf doctor!nawasabahi!
nyayo,na zinawaka moto,ad ukigusa nyayo za moto! Basi ndo mwili wote unachoka!et tatizo nini?
Kwa tatizo la
nyayo kuwaka moto mimi nitakusaidia Dawa Mbadala jaribu kutafuta Hina uwe unapaa kwenye hizo nyayo zako inshallah hayo matatizo ya kuwaka moto yataondoka kuhus hayo matatizo ya kiuno kama alivyosema Mwenzangu Mkuu vicent
tibaijuka ingelikuwa vizuri kabla hujaja hapa kuulizia maradhi yako jaribu kuenda Hospitalini huko kuna vipimo wakupime ili waweze kujuwa una matatizo gani kisha ukitumia Dawa na ukaona hazija kuponesha au hukupata nafuu yoyote ile ndio unaweza kuja hapa na kuuliza zaidi na kupewa ushauri nakupa hizo nasaha zangu.
it's serious disease! try bto get neurosurgeons!! if cant get them get prepared to India. sure it's difficulty to treat it but you can get some advice. avoid heavy duties and high heel shoes etc. you should train oftenly but not heavily. get well soon!Im really shocked! First thing in the morning kesho kwakweli! Dah
Na-support hiyo dawa lakini haiponyi, kwani hii ni aina ya vitamin group B, ni kufanya neva kuwa imara. maumivu yatakuwa palepale.wakati ukiendelea kutekeleza ushauri wa waungwana hapo juu, unaweza kuanza kutumia neurobion forte tabs 1x2 zitakusaidia.
na support hiyo dawa lakini haiponyi, kwani hii ni aina ya vitamin group B, ni kufanya neva kuwa imara. maumivu yatakuwa palepale. Tumia brufen kama unamaumivu. na kama unamatatizo ya tumbo kama vidonda kamwe usitumie brufen kwa itasababisha maumivu makali na hata internal bleeding!
Sawa. unatakiwa ufanyiwe kipimo kinaitwa CT au hata x-ray ya uti wa mgongo inaweza ona kama kuna hitilafu katika pingili za mgongo. lakini sahihi zaidi ni CT. kama una ulcers kuwa mwangalifu na hizo pain killers. zitumie baada ya chakula na pia tumia, pia tumia dawaza anti acid kama vile ranitidin nk. ebu niambie umeenda hospital gani?nimeenda hosptal,nimepima stool,urine na blood kubwa.nkaambiwa nna ulcers!!kwakuw n ckukuu,wameniambia nisubir nipime maji ya ut wa mgongo!wamenipa pain killerz tu
Kwangu mimi sijui kwanini wamekuwekea drip! kipimo ja maji ya mgongo(spinal puncture) ni kupoteza muda tu. hata dignosis ya ulcers ninamashaka nayo kutokana na vipimo ulivyotoa huko. kama ni damu ilikuwa kwenye stool si lazime iwe ulcers.nipo mkoani(tabora),nlienda private inaitwa Vanesa ndo wakanipa majibu ayo ya ulcers,nikaamishiwa hosp ya mkoa,ya Kitete.ndo nipo hapa,wameniambia nisubiri kesho kwa kipimo cha maji ktk uti wa mgongo.mpaka sasa wamenipa drip plain tu,na nashndwa kabisa kukaa,nalala tuu.na hapa kifuan katkat ya maziwa pamevimba na hata kwa nje nkibonyeza panauma,the same to katka kiuno na mgongo.
kwangu mimi sijui kwanini wamekuwekea drip! kipimo ja maji ya mgongo(spinal puncture) ni kupoteza muda tu. hata dignosis ya ulcers ninamashaka nayo kutokana na vipimo ulivyotoa huko. kama ni damu ilikuwa kwenye stool si lazime iwe ulcers. fuata ushauri wangu hapo juu. nakuambia hivi kwani naujua ugonjwa huu. na ikibidi utatakiwa kufanyiwa operation, ambayo ni ngumu sana.
Mimi ni dk, ila niko nje ya nchi, napenda kusoma hii jf. hivi karibuni nitarudi nyumbaniasante mkuu bila shaka we ni doctr,ngoja niwambie wapime iyo ct ama xray nijue wat nxt,kwakel nateseka.na stool haikuw na damu.
Jamani mimi nina tatizo la ganzi na maumivu makali kwenye miguu na viganja vya mikono. Je, tiba yake ni nini? Nimeambiwa kwamba tatizo limesababishwa na kisukari.