daudycharles
Member
- Feb 19, 2014
- 50
- 16
Habari za leo wapendwa,
Jamani naombeni msaada wa mawazo kwamba mie nasumbuliwa na kusagika kwa viungo vyangu yaani ule uteute wa ktk magoti,mabega,viwiko,nyonga pamoja na pingili za mgongo nahisi umepungua,pia napatwa na maumivu hivyo siwezi fanya kazi ngumu sasa nakuwa naumia,je nitumie dawa gani ili kuweza kutibu tatizo hili?