PETEROPTIMIST
Member
- Nov 16, 2013
- 80
- 17
poleni na majukumu wadau. sasa nimeamua kuuliza humu hii samsung yangu mtu anaweza kukutumia sms ikafika vizuri bila shida tatizo message hiyo hiyo inaweza kuendelea kuingia kwenye simu ata siku tatu mpaka nne mfululizo kwa muda tofauti tofauti. SO KWA ANAEJUA SULUHISHO ANISAIDIE, ASANTEE.