Tatizo la mapigo ya moyo kuwa juu

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,159
9,360
Nina changamoto ya kuwa mapigo ya moyo,kuwa juu,hadi 90 ps,hii inatokea hata kama presha ipo 120/85(mfano wa hivi punde) Naomba kujua tatizo ni nini!
 
Nina changamoto ya kuwa mapigo ya moyo,kuwa juu,hadi 90 ps,hii inatokea hata kama presha ipo 120/85(mfano wa hivi punde) Naomba kujua tatizo ni nini!
Punguza kula vyakula vya mafuta kunyw amaji ya Uvuguvugu kwa wingi.Ukitaka Dawa ya kurekesbisha Matatizo ya moyo wako kwenda juu unaweza kunitafuta kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Nina changamoto ya kuwa mapigo ya moyo,kuwa juu,hadi 90 ps,hii inatokea hata kama presha ipo 120/85(mfano wa hivi punde) Naomba kujua tatizo ni nini!
Labda kama ulikuwa unamaanisha 90bpm mkuu....hiyo ni kawaida mbona, labda ungeniambia ni zaidi ya 100bpm ambayo kitaalam wanaita tachycardia ingekuwa tatizo....
 
Back
Top Bottom