Tatizo la makelele kwenye nyumba za ibada

Tatizo la makelele kwenye nyumba za ibada

We kama hutaki hizo kelele Mungu anazitaka. Kaa kimya watu wamtukuze Mungu wao
Hakuna mahala popote katika biblia panapo sema Mungu anataka tumwabudu kwa makelele.

Kama mzazi wako wa hapa duniani unapoongea naye huwezi kumpigia makelele hvyo, kwa nn Mungu umwabudu kwa makelele.

Mungu wetu ni wa utaratibu na anahitaji tumwabudu kwa heshima, kicho na unyenyekevu mkubwa na sio kwa fujo na makelele, hadi unashindwa kutofautisha ukumbi wa disco na nyumba ya ibada.

Soma kitabu cha Ufunuo utaona jinsi malaika mbinguni wanavyotoa ibada kwa Mungu mbinguni na sio kwa makelele.

Mungu awabariki mnapoelewa.
 
NNILIKUWA NAFWATILIA MAONI YA WATU HAPA NIKACHOKA KABISA. KWA MTIZAMO WANGU KWA DUNIA YA LEO KAMA KUNA WATU WANAOONESHA ANGALAU MOYO WA KUMTAFUTA MUNGU WANGEPASWA WATIWE MOYO. ILA LAH WATU WAMEPONDA KWELI. MUNGU ATUREHEMU SANA. TUWE BASI NA MIPAKA YA KUONGEA TUSIJEJIKUTA TUNAPATA LAANA BURE. WAISLAMU WANAPIGA MAKELEL ASUBUHI SIKU NZIMA WAKRISTO HIVYO HIVYO. MNATAKA NINI? IBADA ZIACHWE?
 
PIA TUFIKIRI SANA KUHUSU KUNENA KWA LUGHA...(hapa akili yatakiwa) HEBU ONA!
1.walokole(TAG,EAGT, SILOAM,.... nk) wananena
2.wasabato wananena
3.RC kuna kundi linanena(wanaitwa classmatic kama cjakosea, naomba kusahihishwa hapa)
kwa hao wachache wote wanadai wameshukiwa na ROHO TAKATIFU...HEBU JIULIZE
1.Hayo makanisa yanapatana? yanapendana?
2.roho takatfu moja inashuka toka kwa MUNGU mmoja kwenda kwa watu wasio na umoja?
3.je,yeye anenaye kwa lugha anajua akiombacho? au ahubiricho-!!
4.roho takatifu yule anayewashukia wasabato, ndo yule awashukiao wa TAG, EAGT, siloam, KKKT n.k...full gospel,.wa upako, na bado roho moja toka kwa MUNGU mmoja inazdi kuwatenganisha!?
Wasabato umewaonea katika hilo.
wao hawana kunena kwa lugha jaribu kwenda kanisani kwao utajionea mwenyewe
 
Jmn mi huwa nataman makanisa yote yawe ktk k2 kmoja
Yan km kuna mtumishi anaenda ndvyo cvyo Yule anayeelewa maandko amrekebshe tena kwa upole na unyenyekevu

-kanisa 1 Mungu ni m1 kwann kunakua na chuki??
 
NNILIKUWA NAFWATILIA MAONI YA WATU HAPA NIKACHOKA KABISA. KWA MTIZAMO WANGU KWA DUNIA YA LEO KAMA KUNA WATU WANAOONESHA ANGALAU MOYO WA KUMTAFUTA MUNGU WANGEPASWA WATIWE MOYO. ILA LAH WATU WAMEPONDA KWELI. MUNGU ATUREHEMU SANA. TUWE BASI NA MIPAKA YA KUONGEA TUSIJEJIKUTA TUNAPATA LAANA BURE. WAISLAMU WANAPIGA MAKELEL ASUBUHI SIKU NZIMA WAKRISTO HIVYO HIVYO. MNATAKA NINI? IBADA ZIACHWE?
Ziendeshwe kwa utaratibu coz Mungu tunayemwabudi ni wautaratibu sio fujo na makelele
 
Hakuna mahala popote katika biblia panapo sema Mungu anataka tumwabudu kwa makelele.

Kama mzazi wako wa hapa duniani unapoongea naye huwezi kumpigia makelele hvyo, kwa nn Mungu umwabudu kwa makelele.

Mungu wetu ni wa utaratibu na anahitaji tumwabudu kwa heshima, kicho na unyenyekevu mkubwa na sio kwa fujo na makelele, hadi unashindwa kutofautisha ukumbi wa disco na nyumba ya ibada.

Soma kitabu cha Ufunuo utaona jinsi malaika mbinguni wanavyotoa ibada kwa Mungu mbinguni na sio kwa makelele.

Mungu awabariki mnapoelewa.
ASANTE kwa kitia moyo...
 
Jmn mi huwa nataman makanisa yote yawe ktk k2 kmoja
Yan km kuna mtumishi anaenda ndvyo cvyo Yule anayeelewa maandko amrekebshe tena kwa upole na unyenyekevu

-kanisa 1 Mungu ni m1 kwann kunakua na chuki??

dini ya kweli utaitambua kwa matunda yake,...tena chuki ipo hata ndani ya kanisa1
HEBU ona scenario hii
1. kanisa B lipo Tanzania na lipo UGANDA pia
2.siku serikali ya TZ na UGANDA wakiwa na UGOMVI, kanisa B la uganda litakuombea jeshi likashnde vita NA KANISA B la TZ litaombea jesh la tz pia,..
3. hebu tafakari hapo, je, MUNGU WAO NI 1 !? utagundua sio mungu 1
 
NEMC wana sheria kuhusu noise pollution. Sijui kwa nini wanaifumbia macho utekelezaji wake.

Lazima itagusa sehemu zifuatazo:

  • Nyumba za ibada (hapo nahisi ndiyo kigugumizi kinapoanzia)
  • Kumbi za starehe kama Bar nk
  • Sherehe za arusi au tafrija mbalimbali mitaani.
 
Vipi na zile zinazoanza saa 10 alfajiri...ambapo apika zake zimetundikwa juu ya mnara wa jengo..?
 
Back
Top Bottom