Tatizo la Maji

Tatizo la Maji

Peter1234

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
18
Reaction score
0
Salaam wana jf tatizo la maji arusha limekuwa kero hasa mtaa wa baba dee tunaomba mkurugenzi wa Maji Arusha aliangalie suala hili kwa wiki karibu tatu maji hayajatoka kabisa.
 
Back
Top Bottom