jamani nishawahi kuwa na mahusiano na mvulana niliempenda kumbe yeye alikuwa kama ana cheat coz kuna siku nliazma simu yake nliziona meseji nying kweny sent item akichat na x gel frend wake, kwa kunisema mfan .mimi sas hivi sipo kwenye mahusiano lakini kuna huyu msichana ana act kunipenda lakini mie sina muda naye, anajipendekeza kwangu, na hawez kuwa kama you ma x, vitu kama hivo viliniumiza sana nikaamua niaachane nae kwa sababu nlimpenda sana na niliona nitazidi kuumia, tatizo ni kwamba tokea niachane naye cjabahatika kumpend mtu na inaweza ikatokea mvulana nina hisia nae but najikuta tu ghafla simpend na siwez kuwa nay katika mahusiano? Hali hii inasababishwa na vitendo alivonifanyia yule mvulan. so nifanyaje ili niondokane na hali hii?