Hata mimi ni tokea nimepata akili mpaka nimezoea,lakini sidhani kama kuna kitu kingine zaidi ya allergy,kwa mimi vitu vinavyosumbua ni ubaridi,baadhi ya perfumes,sabuni,petroli,vumbi na moshi...Mara kadhaa nimewahi kuona watu wenye mafua sugu kila saa utamkuta ana mafua sijajua huwa nini shida.
Hata mimi ni tokea nimepata akili mpaka nimezoea,lakini sidhani kama kuna kitu kingine zaidi ya allergy,kwa mimi vitu vinavyosumbua ni ubaridi,baadhi ya perfumes,sabuni,petroli,vumbi na moshi...
Mimi si dakitare lakini nmewahi sikia kuwa "persistent flues" appear as early symptoms of H.I.V
MmmmhMimi si dakitare lakini nmewahi sikia kuwa "persistent flues" appear as early symptoms of H.I.V
Wacha tusubiri wajuvi wa mambo waje watiririke na kuserereka (in Gentamycine's voice)Mh sidhani kama kweli.
Yap ,wanasema immunity yako inaposhuka unakuwa mwepesi sana wa kuathiriwa na magonjwa kama hayo!Mmmmh
Nimekusoma ndugu,kuna mtoto mmoja tbt huko,haponi mpk leo ndo maana nimepata shida kidogo, si unajua tenaYap ,wanasema immunity yako inaposhuka unakuwa mwepesi sana wa kuathiriwa na magonjwa kama hayo!
(Low immunity makes someone highly susceptible to persistent flues, come rain come shine!
Yeah,but ni vyema umpeleke hospital for a thoroughly checkup... Allergic individuals huwa vivyo hivyo piaNimekusoma ndugu,kuna mtoto mmoja tbt huko,haponi mpk leo ndo maana nimepata shida kidogo, si unajua tena
PamojaYeah,but ni vyema umpeleke hospital for a thoroughly checkup... Allergic individuals huwa vivyo hivyo pia
Mimi si dakitare lakini nmewahi sikia kuwa "persistent flues" appear as early symptoms of H.I.V
Hii tabia ya kuongea vitu usivyovifaham na ambavyo vina athari kwa jamii sio poa.
Kwa kawaida kuna ugonjwa sugu wa mfumo wa hewa '"' COPD'’ Chronic Obstructive Pulmonary Disease. Kwa kawaida hutokea ikiwa baadhi ya sehem ya njia hewa kama bronchioles zina inflamation "Uvimbe" kiasi cha kunatatiza mfumo wa hewa. Mtu uhesabiwa ana COPD ikiwa angalau miezi 3 ya mwaka ataugua mafua, simaanishi mfululizo. Kufahamu tiba kwa daktari.
Au
Kingine kisumbuacho kwa mafua sugu ni ALLERGIC RHINITIS, (HAY). Hii hutokea pale antibodies zina kuwa na overeaction Kwa baadhi ya vitu ambavyo kwa mtu wa kawaida huwa hawezi react, vitu kama pafyumu. manyoya. vumbi na unga wa maua au polen. Hapa mtu anapata mafua kila anapokuwa disposed kwenye vitu hivyo. Tiba ni kama utakavyoambiwa na do ctor.
some how true mana alikunywa then wakamcheulisha but alicheua pitia mdomo au pua hapo sijuwi but sure alikunywa na kucheua, suluhisho ni nini mkuuInawezekana alikunywa maji ya machafu toka kwa mama wakati wa kujifungua au yalipita puani hayo maji