Wadau natumia dell tower-desktop ina hard disk mbili kiila moja ina gb 40, ina ram 1.25 gb, proccesor 2.79 natumia window xp..
tatizo mara nyiingi ninapowasha inapoanza ku-load window inasizi yaani inastop mpaka nizime tena,inachukua hata mara 5 ndo ikubari kuwaka,
pili hata ikiwaka ukiacha dakika kama kumi bila kuitumia utakuta imesizi hata ukibonyeza key board au mouse haifanyi kazi mpaka uzime kwenye swichi halafu uwashe tena.
naombeni ushauri maana nimebadirisha window lakini bado tatizo lipo,
mbaya zaidi ukiplay hata video inaplay dakika kama 3 inasizi,
msaada plz...!