Usinune nune..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha pombe kali, kunywa maji mengi, usinune nune, smile and be happy.
Kwa msaada zaidi ungetupia kapicha kako mkuu, ila hata kama unaonekana mzee kama nguvu bado zipo haina shida, "enjoy you life"Wakuu habari za jioni?
Mi ni kijana wa miaka 32 kuna kwa kweli limekuwa likinikosesha raha sana, nimeona nikilileta hapa jamvin ninaweza kupata suluhisho...
Mkuu kwanza nakuuliza.Wakuu habari za jioni?
Mi ni kijana wa miaka 32 kuna kwa kweli limekuwa likinikosesha raha sana, nimeona nikilileta hapa jamvin ninaweza kupata suluhisho...
Sasa umenuna kila muda kwa nini tusikuone mzeeUsinune nune..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa faida yetu tutafsirie
Sababu ya huo unene, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fanya mazoezi, ongeza matunda na mboga za majani katika milo yako. Punguza pombe na nyama.
Jitahidi usiwe na stress na ukiwa nazo ziwe za muda mfupi.
Kunywa sana maji yanasaidia kulainisha ngozi.
kilo 60-70 ideally but 90kg it’s a bit too much.