Tatizo la kuwaka na kuzima kwa PC

Tatizo la kuwaka na kuzima kwa PC

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,710
Reaction score
1,963
Wadau habari za jioni!

Niende moja kwa moja kwenye mada husika.

PC yangu imepata tatizo la ghafla la kuwaka na kuzima,Yaani kila ninapoiwasha kwenye screen haionyeshi kitu chochote zaidi ya weusi tu na endapo ikionyesha huwa inaonyesha kama chenga chenga hivi.

Sasa wadau ningependa kujua kutoka kwenu hili tatizo linaweza likawa limesababishwa na nini? Na vipi kuhusu utengenezaji wake unaweza kuwa ni wa gharama kiasi gani?

Nawasilisha.
 
Wadau habari za jioni

Niende moja kwa moja kwenye mada husika

PC yangu imepata tatizo la ghafla la kuwaka na kuzima,Yaani kila ninapoiwasha kwenye screen haioneshi kitu chochote zaidi ya weusi tu na endapo ikionesha huwa inaonyesha Kama chenga chenga hivi

Sasa wadau ningependa kujua kutoka kwenu hili tatizo linaweza likawa limesababishwa na nini?,Na vipi kuhusu utengenezaji wake unaweza kuwa ni wa gharama kiasi gani?

Nawasilisha.
Ngoja wake wataalam
 
Model Gan Hiyo PC?

Hilo Tatizo Lipo Sana Kwenye PC Zinazotumia Graphics Card Ya AMD

Linatokana Na Overheating.

Utatuzi Wako Ni Kufanya CheckUp Ya Ventilation System Ya PC

1. Futa Vumbi Ndani
2. Apply Processor Paste Nyingine
3. Safisha Fan Na Heating Sink
4. Usitumie PC Sehemu Isiyo Na Hewa Vizur Mfano Kwenye Godoro Direct.

Nimetoa Ufafanuz General Ila Tutajie Model Tujue Tatizo Zaidi.

Wasalaaam
 
Mkuu embu angalia kwenye hiyo picha ,Ni HP elitebook
IMG_20191121_200137_3~2.jpeg
 
I'm
Model Gan Hiyo PC?

Hilo Tatizo Lipo Sana Kwenye PC Zinazotumia Graphics Card Ya AMD

Linatokana Na Overheating.

Utatuzi Wako Ni Kufanya CheckUp Ya Ventilation System Ya PC

1. Futa Vumbi Ndani
2. Apply Processor Paste Nyingine
3. Safisha Fan Na Heating Sink
4. Usitumie PC Sehemu Isiyo Na Hewa Vizur Mfano Kwenye Godoro Direct.

Nimetoa Ufafanuz General Ila Tutajie Model Tujue Tatizo Zaidi.

Wasalaaam
Okay mkuu nilishatatua Hilo tatizo.
 
Maweee!! na mie pia nimekumbwa na tatizo hilo hilo!!! hebu nipe mawili matatu mkuu!! yaani hii ina restart...... tena nikiwa katikati ya kumeza material au nikifanya kazi zangu tangia jana!! ktk pitapita zangu si nikakuona wewe pia unatatizo hilo hilo!! munisaidie kwakweli wajameni mweee!
 
Habari zenu jamani?
Naombeni msaada, mambo sio mazuri kwa upande wangu.
Mimi pia PC yangu niliiacha ndani ya siku tatu bila kuiwasha lakini jana nilipo iwasha iliwaka alafu ikazima ikakata sekunde chache feni zikaanza kuzunguka kwa kasi nimejalibu kuifuta futa vumbi, baada ya kuifuta futa vumbi saizi feni zinazunguka vizuri lakini saizi inafanya kazi ya kujizima na kujiwasha, na kwenye scren haionye kitu ila inaandika monitor going to sleep.

Misaada wenu wakuu maana nimekwama..
 
Back
Top Bottom