Tatizo la kuvuja umeme

Tatizo la kuvuja umeme

jlupembeTz

Member
Joined
Oct 28, 2019
Posts
17
Reaction score
2
TATIZO LA KUVUJA KWA UMEME (EARTH LEAKAGE)

Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao. Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa wakilitatua kwa namna ya kuliongeza badala ya kuliondoa.

Tatizo hili limekuwa likitokea sana katika nyumba ambazo zinatumia vifaa vya pin tatu yaani live, neutral and earth mfano fridge, pasi, jiko la umeme, n.k. Vilevile, linatokea sana katika nyumba yenye wiring iliyo choka au kwenye nyumba ambayo wire zake zimechubuka.

Kwa kawaida kuna vifaa maalumu vya kutambua uvujaji wa umeme katika nyumba kama vile Earth Leakage, Circuit Breaker ingawaje nyingi zilizo fungwa majumbani siku hizi ni feki hivyo zinashindwa kujizima pale umeme unapo vuja.

Mara nyingi Leakage ya umeme hua inapimwa kwa kuangalia resistance between Live wire and Earth wire na kiutaratibu laizima resistance ya wire hizi mbili izidi 1000000 ohms =1mega ohms

Kama endapo itatokea ikiwa chini ya hapo moja kwa moja tunaamini kuna gharama za ziada
zitakazo ongezeka kutokana na resistance hiyo kushuka chini ya kiwango hicho. Mfano fundi umeme amepima continuity na kukuta resistance between LIVE wire and EARTH wire is 1000 ohms = 1k ohms. Mweye nyumba yenye ukinzani kama huu ataingia gharama ya ziada ambayo inasababishwa na kuvuja kwa umeme.

Kama unahisi unalipa bili ya umeme zaidi ya matumizi yako hakikisha unawasiliana na fundi umeme aje kukupimia continuity ya wiring yako. ZINGATIA:-Kitaalamu uvujaji wa umeme unaopelekea kuongezeka kwa bili ya umeme hakutibiwi kwa kubadilisha EARTH ROAD kama wengi wanavyo hufanya,utaweza kuondoa tatizo hilo kwa ku-trace eneo linalo vujisha umeme na kuliondoa.

HAKIKISHA FUNDI WAKO ANA KIFAA CHA KUPIMIA CONTINUITY “MEGA” ILI AWEZE KUTAMBUA RESISTANCE BETWEEN THE WIRES ON YOUR CIRCUIT. Any obtained resistance can help to determine the added cost by above formula. PENDELEA KUKAGUA WIRING YAKO KILA BAADA YA MIEZI SITA KWA USALAMA WA UCHUMI WAKO, MALIZAKO NA UHAI WAKO.

JOSEPH LUPEMBE ELECTRICAL INSTALLATION DOMESTIC AND INDUSTRIAL .
CALL ME 0769233063/ WHATSAPP
IMG_-ncsdua.jpeg
IMG_20191102_094547_385.jpeg
IMG_20191102_094547_387.jpeg
images%20(5).jpeg
images%20(2).jpeg
 
Tatizo la kuvuja kwa umeme (Earth Leakage)

Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao.

Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa wakilitatua kwa namna ya kuliongeza badala ya kuliondoa.

Tatizo hili limekuwa likitokea sana katika
nyumba ambazo zinatumia vifaa vya pin tatu yaani live,neutral and earth mfano fridge,pasi,jiko la umeme, n.k.Vile vile linatokea sana katika nyumba yenye wiring iliyo choka au kwenye nyumba ambayo wire zake zimechubuka.

Kwa kawaida kuna vifaa maalumu vya kutambua uvujaji wa umeme katika nyumba kama vile EARTH LEAKAGE CIRCUIT BREAKER ingawaje nyingi zilizofungwa majumbani siku hizi ni FEKI hivyo zinashindwa kujizima pale umeme unapovuja.

Mara nyingi leakage ya umeme huwa
inapimwa kwa kuangalia resistance
between LIVE wire and EARTH wire na kiutaratibu laizima resistance ya wire
hizi mbili izidi 1000000 ohms =1mega
ohms.

Kama endapo itatokea ikwa chini ya hapo moja kwa moja tunaamini kuna gharama za ziada zitakazo ongezeka kutokana na resistance hiyo kushuka chini ya kiwango hicho.

Mfano fundi umeme amepima continuity na kukuta resistance between LIVE wire and EARTH wire is 1000 ohms = 1k ohms.

Mwenye nyumba yenye ukinzani kama huu ataingia gharama ya ziada ambayo inasababishwa na kuvuja kwa umeme.

Kama unahisi unalipa bili ya umeme zaidi ya matumizi yako hakikisha unawasiliana na fundi umeme aje kukupimia continuity ya wiring yako.

ZINGATIA: Kitaalamu uvujaji wa umeme unaopelekea kuongezeka kwa bili ya umeme hakutibiwi kwa kubadilisha EARTH ROAD kama wengi wanavyo fanya, utaweza kuondoa tatizo hilo kwa ku-trace eneo linalo vujisha umeme na kuliondoa.

Hakikisha fundi wako ana kifaa cha kupimia continuity "Mega" ili aweze kitambua resistance between the wires on your circuit.

Any obtained resistance can help to determine the added cost by above formula.

Pendelea kukagua wiring yako kila baada ya miezi sita kwa usalama wa uchumi wako, mali zako na uhai wako.

Joseph Lupembe,
Electrical Installation Domestic and Industrial.

Call/WhatsApp 0769233063/

IMG_20191102_094547_387.jpeg
IMG_20191102_094547_385.jpeg
images%20(5).jpeg
IMG_20191102_094547_389.jpeg
 
Unapojitangaza epuka kutumia makala za wengine,Tumia kit kutoka kichwani mwako

Usitumie kitu alichoanzisha mwingine utaonekana sio mbunifu na mbabaishaji

Nina uhakika nikikuuuliza kama una hicho kifaa cha kupimia CONTINUITY ambacho kinaitwa "mega"

Ukute hata hukifahamu,so next time jaribu kua mtaalamu na Sio mtaalamu Kijicho (muiga vya watu)

Toa unachokifahamu kichwani achana na vitu vya wengine.
 
Tatizo la kuvuja kwa umeme (Earth Leakage)

Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao.

Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa wakilitatua kwa namna ya kuliongeza badala ya kuliondoa.

Tatizo hili limekuwa likitokea sana katika
nyumba ambazo zinatumia vifaa vya pin tatu yaani live,neutral and earth mfano fridge,pasi,jiko la umeme, n.k.Vile vile linatokea sana katika nyumba yenye wiring iliyo choka au kwenye nyumba ambayo wire zake zimechubuka.

Kwa kawaida kuna vifaa maalumu vya kutambua uvujaji wa umeme katika nyumba kama vile EARTH LEAKAGE CIRCUIT BREAKER ingawaje nyingi zilizofungwa majumbani siku hizi ni FEKI hivyo zinashindwa kujizima pale umeme unapovuja.

Mara nyingi leakage ya umeme huwa
inapimwa kwa kuangalia resistance
between LIVE wire and EARTH wire na kiutaratibu laizima resistance ya wire
hizi mbili izidi 1000000 ohms =1mega
ohms.

Kama endapo itatokea ikwa chini ya hapo moja kwa moja tunaamini kuna gharama za ziada zitakazo ongezeka kutokana na resistance hiyo kushuka chini ya kiwango hicho.

Mfano fundi umeme amepima continuity na kukuta resistance between LIVE wire and EARTH wire is 1000 ohms = 1k ohms.

Mwenye nyumba yenye ukinzani kama huu ataingia gharama ya ziada ambayo inasababishwa na kuvuja kwa umeme.

Kama unahisi unalipa bili ya umeme zaidi ya matumizi yako hakikisha unawasiliana na fundi umeme aje kukupimia continuity ya wiring yako.

ZINGATIA: Kitaalamu uvujaji wa umeme unaopelekea kuongezeka kwa bili ya umeme hakutibiwi kwa kubadilisha EARTH ROAD kama wengi wanavyo fanya, utaweza kuondoa tatizo hilo kwa ku-trace eneo linalo vujisha umeme na kuliondoa.

Hakikisha fundi wako ana kifaa cha kupimia continuity "Mega" ili aweze kitambua resistance between the wires on your circuit.

Any obtained resistance can help to determine the added cost by above formula.

Pendelea kukagua wiring yako kila baada ya miezi sita kwa usalama wa uchumi wako, mali zako na uhai wako.

Joseph Lupembe,
Electrical Installation Domestic and Industrial.

Call/WhatsApp 0769233063/

View attachment 1251681View attachment 1251683View attachment 1251684View attachment 1251685
Kumbe ni "earth road"!
Nilidhani hiyo ni '.... rod' sio barabara!
 
kuna mtu nilipata kumsikia akisema kuwa kufanya wiring upy ndio suluhisho bora zaidi....ni kweli?
 
Kabla ya kufanya installation mpya inatakiwa fundi aje apime ajue hilo tatizo la kuvuja kwa umeme linasababishwa na nini?
Unaweza ukafanya wayaringi mpya na tatizo likaendelea

Wayaringi = Wiring

Bwana Fundi unamfahamu Ras Simba? Mtembelee walau atakusaidia!
 
Wayaringi = Wiring

Bwana Fundi unamfahamu Ras Simba? Mtembelee walau atakusaidia!
Ww unaona nimekosea lakini mm naona nipo sahihi kulingana na lugha niliyotumia
Nashukuru kwa kunisaidia kutafsiri
Swahili to English
Wayaringi====Wiring
 
Hao nao waliicopy hapa jf.Hili andiko ni langu,sema ndo hivyo ku-copy na ku-paste rahisi sana.

Angalau wangekuwa wanamtambua mwandishi ingekuwa kisomi zaidi.

All in all ukiona umeandika kitu harafu watu wanakidurufu,inakufariji kwamba jambo uliloandika linamashiko na ni msaada kwa jamii.

Bwana fundi naona makala yako ume COPY and PASTE kutoka https://faabielectrical.co.tz
Screenshot_20191106-153225_Samsung%20Internet.jpeg
 
Hao nao waliicopy hapa jf.Hili andiko ni langu,sema ndo hivyo ku-copy na ku-paste rahisi sana.

Angalau wangekuwa wanamtambua mwandishi ingekuwa kisomi zaidi.

All in all ukiona umeandika kitu harafu watu wanakidurufu,inakufariji kwamba jambo uliloandika linamashiko na ni msaada kwa jamii.

View attachment 1255653
Tena ukute keshaliza wengi kwa kujifanya ndiye yeye
 
Hao nao waliicopy hapa jf.Hili andiko ni langu,sema ndo hivyo ku-copy na ku-paste rahisi sana.

Angalau wangekuwa wanamtambua mwandishi ingekuwa kisomi zaidi.

All in all ukiona umeandika kitu harafu watu wanakidurufu,inakufariji kwamba jambo uliloandika linamashiko na ni msaada kwa jamii.

View attachment 1255653
yawezekana ikawa hivyo kama ulivyosema mkuu

Nimekutumia ujumbe PM,nina amini kwa asilimia zaidi ya 100

kama kweli hii makala wewe ndie muandishi,basi utanipa majibu Mujarabu kabisa.

na kupitia wewe hicho nilichokuandikia PM utanitatulia.

Nitangulize shukurani kubwa sana katika utekelezaji wa swala langu.

Asante.
 
Hao nao waliicopy hapa jf.Hili andiko ni langu,sema ndo hivyo ku-copy na ku-paste rahisi sana.

Angalau wangekuwa wanamtambua mwandishi ingekuwa kisomi zaidi.

All in all ukiona umeandika kitu harafu watu wanakidurufu,inakufariji kwamba jambo uliloandika linamashiko na ni msaada kwa jamii.

Hata wewe niseme tu wazi kuwa uli copy ulichokiandika kutoka source unayoijua wewe

nimekufata PM kuku uliza maswali, Hujajibu hata 1 upo upo tu una randa randa

Muandika hiyo makala sio wewe nina uhakika kwa asilimia 100 maana nimekuuliza swali kwa ID 3 tofauti

na zote swali lile lile kwa namna tofauti ila hamna swali umejibu zaidi ya kukaa kimya usijue unanijibu nini

PM unachojua kujibu ni salamu tu ila baada ya salamu likija swali unatoa mbio hata harmorapa anasubiri.

Acheni ujanja ujanja wenu wa ku copy vitu huko kuvileta huku,waacheni hao wataaalamu wafanye kazi zao

either muwashari wajiunge na JamiiForums ili watuletee madini ila sio mnaona kisa wao wako bize basi mnatumia fursa

kujifanya ndio nyie Mnaboa Hasa wewe pia UNABOA.
 
Back
Top Bottom