tatizo la kuvaa miwani umri mdogo

mwl frank

R I P
Jul 11, 2011
78
27
siku za karibuni watoto wenye umri chini ya miaka 15 wana matatizo ya macho na kuwa lazimu kuvaa miwani,nini chanzo chake hasa wanafunzi kwa primary na secondary,inatisha!wataalamu saidieni hii shida.
 
Wataalam watusaidie, mdogo wangu anavaa miwani halafu ndio kwanza yupo darasa la tatu.
 
Back
Top Bottom