Wakuu,
Naomba msaada juu ya hilo sababu natumia
Huawei U-8650 ila nimekuwa nikipata shida wakati
nikitumia browser ya Opera mini{ama zote
zile za kudownload like Ucbrowser yaani sio
hallisi katika simu} katika kuplay video
kutoka katika website
ninazotembelea,zinakuwa hazikubali na kama ikikubali inakuwa ina stack sana na wakat mwingine kuna website unaambiwa play video hapo chini video haionekani naombeni msaada wakuu najua Jamii forums kuna wataalam wa kutosha.thanx in advance