msaada kwenye simu ya huawei u8650

kdany

Senior Member
Jul 20, 2012
149
25
habari wakuu...natumia simu ya huawei u8650 but tatizo ni kwamba nikitaka kuangalia video online kupitia website mbalimbali inakua ina goma Goma(scratch ) na mda mwingine blogger anaweza sema kuna link ya kuona video flan link hyo m nakua siioni kabisa ...namini jf ndo kmbilio la wengi naamin naomba mnisaidie....you tube hamna shida ...n.b natumia opera mini na Uc browser ..asanteni sana.
 
Mahali ulipo 3G ipo vizuri?
 
Kama unazungumzia link za jf muda mwingine zinakuwa ktk HTML5 language, so ukifolow up inaleta blank page .

Cha kufanya uwe una select text ya io link,yaan jina lake then una search upiya. utaipata.

ku scrtat ni tatzo la isp wako so. tafta mtandap wenye nguvu sana lwa eneo lako. maana unawrza ona 3g bt bandwich zimebanwa sana so ikawa ain spid mjinga.

kama hujaelewa uliza
 
Back
Top Bottom